Ni mmea hatari umeota kwenye Barabara za jiji ?

cannibus sativa a.k.a brain charger
Mara nyingi huwa tunachanganya baina ya Cannabis Indica (marihuana) na Cannabis Sativa, inagawaje zote zina vijenzi sawa, tafauti ni viwango tu. Huu wa mwisho mbali ya kuwa chanzo cha protini, vile vile una matumizi mengine kama vile utengenezaji wa kamba.

Cannabis Sativa
Mti wake kwa ndani uko hivi:

Na hupatikana hii:

Baadhi ya matumizi yake ni:

  • kupunguza mfadhaiko [depression] na kunyanyua ari.
  • kutuliza maumivu ya kichwa na kipandauso [migraines]
  • kutia nguvu mwilini [due to proteins]
  • kuzidisha ubunifu
  • kupunguza kizunguzungu
  • kukupa hamu ya kula
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…