Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
wewe jamaa ndio umejificha huku ? Tumezi miss sana dua zako kwenye jukwaa la siasa bhana , rudi mara mojamoja basi .
WanaJF,
Hebu tupige kura hapa tuone ni mkoa gani unawanaJF wengi zaidi?
Watalaam wa kutengeneza Polls tutengenezeeni.
Naanza mimi: Dar es salaam
Ndo tumetoka ibada, nimehubiri juu ya Nyakati za hatari! 2Timotheo 3, mtu akikuambia nyakati hizi ni za hatari unatakiwa kuchukua tahadhari kulingana na hatari. Katika Timotheo zimesemwa hatari nyingi, watu watajipenda wenyewe, watu watapenda pesa, je kwa hatarii hizi mbili unaweza kuchukua tahadhari gani?basi mara zote mimi nilidhani wewe ni mlokole wa kutupwa, sasa nashangaa muda wa ibada uko humu tena ! Dah ! Huu mji unaweza kuibiwa vibaya sana !
HahahahahahaMmu....