Hahaha povu ni ya nini mzee?Yani we unauliza wabongo tunajua kiswahili? ulishakuja bongo ukakuta tunaongea kijaluo? Watanzania ni waswahili, sema tu mnapenda ligi zisizo na maana, yani na sawa na kuuliza mwingereza kama anajua kingereza.
back to your question, hiyo siyo methali coz methali inabidi umalizie eg. asiye sikia la mkuu...., haba na haba..... etc. So kajipange kwanza utuambie huo utopolo ulio andika ni kinini; either nahau, msemo au ni nini? But sio methali. Nadhani ushajua nani hajui kiswahili
Nani anaweza kutupa
Sawa Mhenga.
Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?
Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.
Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.
Maana yake ni: mwanafunzi hayawezi mambo ya mwalimu ila mwalimu anayaweza ya mwanafunzi wake...Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?
Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.
Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.
Cha mkufuu ni chake hakiwezi kuwa cha mwanafuu
Na cha mwanafuu ni chake hakiwezi kuwa cha mkufuu..
Hapo mpka wazee wa lamu, malindi,watamu na kipini waingilie katiWacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?
Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.
Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.
Yani we unauliza wabongo tunajua kiswahili? ulishakuja bongo ukakuta tunaongea kijaluo? Watanzania ni waswahili, sema tu mnapenda ligi zisizo na maana, yani na sawa na kuuliza mwingereza kama anajua kingereza.
back to your question, hiyo siyo methali coz methali inabidi umalizie eg. asiye sikia la mkuu...., haba na haba..... etc. So kajipange kwanza utuambie huo utopolo ulio andika ni kinini; either nahau, msemo au ni nini? But sio methali. Nadhani ushajua nani hajui kiswahili
Nawashangaa wazee wa south nao wameingia mitini na misifa yao yote ile km kiswahili kimetokea kwaoHii hata mimi nimetoka kapa, ila nahisi hapo mkufuu ruksa kula cha mwanafuu.....
Maana yake ni: mwanafunzi hayawezi mambo ya mwalimu ila mwalimu anayaweza ya mwanafunzi wake...
Haya tayari majibu umeshayapata waambie mods wafunge uziHiyo methali ipo hivi:- "Cha mkufunzi mwanafunzi hali na akila hufa. Cha mwanafunzi mkufunzi hula na akila hafi."
Inafaa hili kuwa ndo jibu lenyewe. Maana "akila hu na akila ha"lazima ikufaye mtu uumize kichwa kupata jibuHiyo methali ipo hivi:- "Cha mkufunzi mwanafunzi hali na akila hufa. Cha mwanafunzi mkufunzi hula na akila hafi."