Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Nimependa sana maelezo yako. Kama asipokuelewa basi tena. Kwa nyongeza amuheshimu na kumuogopa MUNGU
 
Angalia usije ukapanda magugu kwenye shamba lako la ngano. hakika hutaweza kuyang'oa na kuiacha ngano salama. kosa la kwanza ni kukubali kujadiliana na shetani wakati huna ubavu wa kumshinda.
 
sina hakika kama kuna jipya saana uloshauriwa hapa na hukulijua kabla...kuna ukimwi, kuna hatari ya kuvunja uchumba wenu nk. Yote hayo ni dhahiri shahiri...unayafahamu.Acha kutafuta vijisababu vya kujustfy huo upuuzi. Mtapeanaje namaba ya simu kwa ajili ya lifti eti asbh na jioni?Wee mwenyewe unam intertain, ndo maana anakuganda.
 
My boy, my boy, simple change your way home, don pickup her call, (bora lawama kuliko fedheha), as per what you wrote, i think yo life is little bite good, just enjoy yo life with yo bros and sis and yo wife to be, try to accomplish yo dreams to be someone, do not mix up things.
MKE WA MTU HATARI DONT TRY. UTAKUJA JUTA.

(ZINAA, its only sin which has different approach in bible, you can not overcome it by Jesus name, its writen IKIMBIENI ZINAA.)
 

Unataka kushikishwa ukuta wewe usione vyaelea kuna jamaa anajinyima kumpendezesha huyo mwanamke
 
Tayari ame declare interest kwamba ni Mke wa Mtu, sio halali kwako kuendelea na mawazo ya kufanya nae mapenzi. Umedai kwamba ni mzuri mno, nakuhakikishia huo ni msukumo wa tamaa zako tu.

'Mungu hamjaribu mtu, lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe'.

Ni ushauri wangu kuwa msaidie lift kama dada yako na usiwe na mawazo ya kimapenzi. Siku moja mualike mwende kwa mchumba wako wakafahamiane na hizo tamaa zako zote zitatoweka kabisa.
 

Come on BHT....a man can be a little bit kind...........and he said she is cute.
 
No matter how cute she is dont try that at home! Mke wa mtu ni mwiba mchungu! Don't live with that guilty in your life

Huyo mke naye ni hasara tu. Kwanza hastahili hiyo 'title' ya mke. Ni kinguchiro tu. 'Mke' mwenye staha hawezi kuchekea chekea wanaume kiholela.

In this day and age of the information super-highway, finding a decent partner who has an unimpeachable moral rectitude is like trying to find a needle in a haystack.
 
Unasikitisha sana! Huyo mchumba wako siku ukimuoa nawenzako wapenda kuwa na uhusiano naye,wewe utafurahi?
Acha uhuni kwa wake wa wenzio kwa sababu ya lift.
Mke wa mtu ni sumu!!!!! Fikiria angekuwa mke wako!!!
Lift isiwe sababu! Mwambie upo bussy na mchumba wako! Kwani mchumba wako ni KIMEO?
KIMSINGI,mwanamke huyo ni Malaya asiye mpenda mme wake, amekuingiza mjini nawe sasa unaingia!!! Ni hatari sana,mbona mademu bomba wapo wengi sana??
 
Kama angekudanganya kuwa hajaolewa,hapo tunge kusamehe! Kama unajua tayari kuwa ni mke wa mtu,mwepuke kama ukoma!!

Atakuletea matatizo.
 

Napendaga kusoma post zako hasa kwasababu ya kujifunza ki-inglishi......Ngabu we ni noma!
 
what goes around comes around, leo ukichukua wa mwenzako kesho watachukua wa kwako utajisikiaje, hata kama yule mume hakuoni acha. just think like this.. mpo wewe na yeye wa tatu ambaye atamwambia mume wake ni Mungu wenu, so do no think mko wawili tu, na zimkufikia mume wakeee... wafaaa ... sumu hiyo wadau wengine wameshasema.. acha , na vile vile mchumba wako akisikiaaaa, utakosa yote wewe..

shinda majaribu kijana,usipokee simu yake , uki-ignore mara kadhaa basi ata-lose interest
 

Thanks, nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…