Ni mji gani , africa unaongoza kwa ufusika

Ni mji gani , africa unaongoza kwa ufusika

Kwa niyaskiayo na kusoma magazetini ninasikitika kusema Daslaam !!! Mungu atupishe mbali.... inasikitisha!!
 
Takwimu hizi za ufuska kaka ukishazipata zitatusaidiaje kutuletea maendeleo ? Muulize peter jaluo akuelekeze penye ufuska Mbagala
 
Nooma kweli yaani mji maarufu kwa ufuska ni Guest house
 
Duh hum ndan kunawatu
Wanautindio wa akili
Hv umekaa kabisa ukawaza
Hlo jambo? Halafu huyo mtu
Aje aseme maisha magumu aseee!
Hii ndo topic mbaya
Tangu mwaka uanze! Nashaur waifute
 
Niimji wowote we ye wakazi wengi kwani ufusika uchangia ongezeko LA watu kwahiyo kigezo chaufsika niongezeko lawatu
 
Back
Top Bottom