Mugunga
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 640
- 911
Si sahihi.Kukaa naye kutakusaidia kumjua kwa undani.Pia kutakusidia wewe kujifunza uvumilivu.Achililia mbali mimba,yapo mengine mengi na magumu yatatokea kati yenu mtakapoanza kuishi katika ndoa ambayo yatakuhitaji uwe mvumilivu na mwenye subira.Asante Chief, nataka kujua nikiamua kaa nae mbali kidogo mpaka ajifungue ili kupisha izo vurugu na kero ni sahihi?
Kumbuka mwanaume mwenye nia ya kujenga familia bora huwa hakwepi majukumu,hata kama ni magumu kiasi gani.