Ni minada ipi iko vizuri kwa biashara?

Ni minada ipi iko vizuri kwa biashara?

Mkuu huko biashara Ipo ukileta mikoba na viatu?
Manyara Babati, Katesh, Karatu wapelekee nguo za Special na Viatu.

Kondoa Bukuru, Chemba na Galapo wapelekee Cosmetics, Nguo za kihindi na baibui usisahau Sendo za kike.

Mtwara vijijini wapelekee simu, USB, Earphones na charger usisahau Sendo za kike.
 
Back
Top Bottom