AFRICAN BOYI
Senior Member
- Dec 9, 2019
- 119
- 339
Manyara Babati, Katesh, Karatu wapelekee nguo za Special na Viatu.Habari zenu wakuu,
Nauliza ni minada ama magulio yapi hapa Tanzania ipo vizuri ki biashara yaani ina amsha amsha. Asilimia kubwa kila mkoa ina minada yake, je ni mkoa upi minada yake huwa iko hot kwenye biashara.
Kwa wale mlio zunguka hii Tanzania naomba mtusaidie katika hilo. Naimani kuna minada iko vizuri sana kwa biashara hapa Tanzania inshu ni kuijua. Msaada wenu tafadhali
Na vipi kuhusu bidhaa inayo toka zaidi kwenye minada. Msaada pia tafadhali, niko nasubiri michango yenu waungwana.
Manyara Babati, Katesh, Karatu wapelekee nguo za Special na Viatu.
Kondoa Bukuru, Chemba na Galapo wapelekee Cosmetics, Nguo za kihindi na baibui usisahau Sendo za kike.
Mtwara vijijini wapelekee simu, USB, Earphones na charger usisahau Sendo za kike.

Yaani haujui vigwaza iko wapi!Iko mkoa upi mkuu?
Yaani haujui vigwaza iko wapi!
Yaani haujui vigwaza iko wapi!
Majengo, Songea town
Wengi tu hatujuiYaani haujui vigwaza iko wapi!
Umenichekesha sanaManyara Babati, Katesh, Karatu wapelekee nguo za Special na Viatu.
Kondoa Bukuru, Chemba na Galapo wapelekee Cosmetics, Nguo za kihindi na baibui usisahau Sendo za kike.
Mtwara vijijini wapelekee simu, USB, Earphones na charger usisahau Sendo za kike.
Mnada upo Majengo kila jumapili.Vip.kwa.kahama