Ni Mimi tu au kuna mtu ushawahi kutokea?

Ni Mimi tu au kuna mtu ushawahi kutokea?

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
3,354
Reaction score
5,006
Jana nilitembelea mkoa x, Kanda ya pwani kwa ajili ya kuangalia fursa ya biashara nikafikia kwenye gest nzuri,ilikuwa mida ya saa 4 usiku, kutokana na uchovu wa safari si ku-concentrate sana kwa mhudumu wa hiyo gest, alikuwa binti mwenye mwili wa kimis, portable device, rangi ya mtume, rafudhi nzuri nahis na tabasamu la kutosha( hii niligundua baada ya kumwangalia vizuri Leo asubuhi wakati nakabidhi room)

Ni hivi ,baada ya kuamka leo asubuhi nikarejesha funguo kwa mhudumu nikagonga Chumba cha mapokezi, akafungua, akatabasamu na kuniamkia, ndipo nilipoona uzuri wake ambao usiku sikuuona vizuri, baadae kaniuliza " vipi usiku ilikuwaje", nikamwambia "ulikuwa poa ila baridi tu lilinitesa)

Akasema huku akitabasamu," ungeniambia tuje tulale wote,"

Daa baada ya hapo mapigo ya moyo yalienda kasi sana ,nikamjibu "usijari siku nyingine nikirudi "
Hiki kitu kimenistua sana hivyo Basi nauliza hivi Mimi tu au na wengine mshawahi kukutana na hii kitu? Nishachukua namba kabisa nikirudi tu imooooo
 
Mkuu yule mpenzi wako aliyekuambia una macho ya kizinzi yuko sahihi.
Hahaaa kwanini? Kumbuka hapa sijatongoza ila kaanza mwenyewe
 
sharp shooter ungechangamka hapo hapo basi sirudishi chumba na leo nitalala hapa tena ili usiku tuwe pamoja.
Najilaum sana ,muda huu mtoto kanipigia anadai niende
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom