Ni mimi niliyemkata bikira

Ni mimi niliyemkata bikira

kama ndivyo basi hatutasita kukuita kilaza .!
 
ushauri wangu nenda kakae tu huko ndio utajuwa jamaa hasimami kama ulivyoambiwa au vipi baada kukufuma hilo tu maana usifuate kauli za watu bila uthibitisho.
 
Limbukeni ww hadi jina lake unaona ni vema kuliweka hapa wakat unasema ni mke wa mtu??? Mkuu kuwa makini huenda ikawa hata huyo mume wake ni member humu unadhani nn kitatokea kwenye ndoa yao??? Hiyo degree yako ni ya madafu kias unashindwa hata kuona kama unaweza haribu ndoa ya mtu!!!
 
Duh..wazi kama mlango wa magari ya mbagala....hawakukupwelepweta kweli?
 
Siku zote ukitaka story ikubalike hata kama ni fake basi tumia majina na mifano ya kweli mfano chuo CBE na hosteli Mji mwema.
 
Subiri mumewe akodi watu wakutoe bikra yako ya makalio.
 
Ukiwa unaiba mke wa mtu hata kama anakupenda,hata kama unakatika kiuno kama stedishoo wa Msondo cheo chako we ni MWIZI tuu
 
Back
Top Bottom