MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Habari zenu bandugu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Leo nipo chini ya miguu yenu. Nahitaji msaada kutoka kwenu.
Najua hapa kuna watu wenye roho nzuri na siyo wachoyo wa maarifa.
Hivi karibuni nimefanikiwa kuanzisha channel yangu ya YouTube ambayo in km muda wa miezi 9 lakini hadi sasa nina Subscribers 470.
Mwenye ujuzi anipe mbinu.
Sent using Jamii Forums mobile app