Ni mazoezi gani yanapunguza mwili na uzito haraka zaidi?

Formular ya mazoezi ni kuwa kama hutoki jasho juahakuna kitu...

Pili usipokuwa makini unaweza kuwa shapeless badala ya kutengeneza shape...ndio maana watu wanatafuta trainers...au wanatumia online services...

nakumbuka mume wangu alinambia angalia ma hips yasije panda juu si kila zoezi la kufakamia...Lol.

Hapo aliona nimeanza ku ignore instructions zake..(kawivu kakamwingia lakini alichosema kina ukweli)
 
Soma banaaa NK....MMU kuna mambo ya kustaajabisha sana.

Wewe BAK wewe...nani anayeweza mwambia mumewe akatafute nje?

Hakuna kitu kama hicho...labda ungesema aseme 'utakuwa una anayekuridhisha nje' ila si 'nenda katafute nje'...weweeeee
 
Pole sana mengi yamesemwa na ukifwata hizo tech utafanikiwa kupata shape yako ya zaman,lakin uwe makini na vyakula ulavyo coz ikitokea ukapata safari nyingine si utarudi square 1?regulate ur meals na usiache kuexercise hata ukirudia shape yako ya awali.
 
kupanua miguu nayo inahitaji zoezi maalum?

kwani mumeo akitumia mikono kuipanua inakuwaje?..lol

jf is never boring
Ha ha ha haaah!! The Boss bwana hilo swali sijaona likijibiwa, labda mumewe huwa hatumii mikono wakati wa tendo.
 
Last edited by a moderator:
(Billie)!
Ushauri wako nauzingatie, just nielekeza nikachote hyo dawa wapi? Nitashukuru sana:)
 
Natamani ningekuwa mumeo!Mbona ningekusaidia,lakini kwa sasa siwezi kumfaidisha mwenzangu wakati mie wangu analala kama gogo!
 
Habari wana MMU!Naomba ushauri wenu.Nimenenepa sana (tumbo, mikono, miguu, mgongo), pia nilikuwa sijashiriki tendo kwa miezi kadhaa, nilikuwa safarini. Sasa nimerudi, kwa kweli nimekuwa mzito sana kitandani. Nachoka haraka mno, miguu siwezi kuipanua vizuri, siwezi kujikunja wala kujizungusha, nashindwa kushughulisha kiuno, etc! Kwa kifupi nashindwa kujituma kitandani, performance imeporomoka! Nimeanza mazoezi taratibu tayari, lakini naomba ushauri wenu ili niweze kumaliza tatizo langu kwa haraka zaidi! Nipungue na nirudie kuwa mwepesi kama ilivyokuwa hapo kabla.Asanteni.

nikikupa diet utaweza kuifuata religiously? mi huwa inanisaidia. ndani ya two weeks nimepunguza 5kg
 
bila hata joging akifuata diet strictly atapungua tu. maaana anaweza aka jog akitoka hapo anafakamia msosi kibao,sasa inakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu..

Upo sawa kabisa sometimes watu wanafanya mazoezi lakini diet kwao inakuwa tatizo.
 
Lakini kama mtu anafanya mazoezi seriously na anayafanya kwa kupenda (kama mimi niliye addicted) huna haja sana ya ku worry kuhusu hizi diet...unakula healthy tosha...mwili wa mazoezi haufichiki....lakini diet wengi wanaanza vizuri lakini wanaishia kuchemsha....

Napenda mazoezi sana...yani nasikia mwili safiii...hata nianguke kwenye ngazi mfano ni ngumu sana kulalamika maumivu niko fiti sana...
Nakaa kwenye computer muda mrefu, masaa zaidi ya 12...wakati wengine wanalalamika shingo sijuhi mgongo mi nawashangaa tuuu.

Upo sawa kabisa sometimes watu wanafanya mazoezi lakini diet kwao inakuwa tatizo.
 
Upo sawa kabisa sometimes watu wanafanya mazoezi lakini diet kwao inakuwa tatizo.

lack of commitment ndo tatizo. its not a joke kufuata diet. nakumbuka i had to loose like seven kilos in two weeks. nilijiwekea limit ya muda ili niweze kupata motivation. nashukuru nikaloose 5kg. now i feel great ni ngumu ila akiamua aniambie nimpe menu.
 
Lakini kama mtu anafanya mazoezi seriously na anayafanya kwa kupenda (kama mimi niliye addicted) huna haja sana ya ku worry kuhusu hizi diet...unakula healthy tosha...mwili wa mazoezi haufichiki....lakini diet wengi wanaanza vizuri lakini wanaishia kuchemsha....

Napenda mazoezi sana...yani nasikia mwili safiii...hata nianguke kwenye ngazi mfano ni ngumu sana kulalamika maumivu niko fiti sana...
Nakaa kwenye computer muda mrefu, masaa zaidi ya 12...wakati wengine wanalalamika shingo sijuhi mgongo mi nawashangaa tuuu.

una raha sana kama unapenda mazoezi,mi siwezi ila kwa diet ndo utachoka nafuata kuliko kawaida na ndo imekuwa ikinisaidia.
 
Asanteni sana, nimeanza vizuri nafikiri. Kilograms tatu zimepungua tangu nianze mazoezi October 8.
 
Back
Top Bottom