Ni maswali gani huulizwa kwa nafasi ya Msaidizi wa Hesabu II?

methu

New Member
Feb 19, 2023
4
3
Wakuu naomba kujua aina ya maswali ambayo uwa yanaulizwa na utumishi kwa kada ya msaidizi wa hesabu daraja la pili both writen and oral.
 
Wakuu naomba kujua aina ya maswali ambayo uwa yanaulizwa na utumishi kwa kada ya msaidizi wa hesabu daraja la pili both writen and oral.
Pitia zile issue basic za bookkeeping na Accounting utatoboa kiulaini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…