Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,456
Wakuu Heshima Mbele
Nasikia ukiajiriwa NSSF baada ya mwaka mmoja unakopeshwa hela ya kujenga nyumba. Je habari hii ni ya kweli? Swali (1) je mifuko yote ya hifadhi ya jamii ina utaratibu huu. (2) kuna mashirika gani mengine yana utaratibu kama huu?
Aksanteni