Ni MAshirika/Waajiri Gani Wanaokopesha Wafanyakazi Wao?

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,456
Wakuu Heshima Mbele

Nasikia ukiajiriwa NSSF baada ya mwaka mmoja unakopeshwa hela ya kujenga nyumba. Je habari hii ni ya kweli? Swali (1) je mifuko yote ya hifadhi ya jamii ina utaratibu huu. (2) kuna mashirika gani mengine yana utaratibu kama huu?

Aksanteni
 
Mkuu usijelala mlangowazi fikiria jinsi yakupata kipato halali cha kujiongezea uwezo.
Mkopo ni suluhisho la muda, lenye madhara ya muda mrefukwa uhuru wako.
 
Mkuu usijelala mlangowazi fikiria jinsi yakupata kipato halali cha kujiongezea uwezo.
Mkopo ni suluhisho la muda, lenye madhara ya muda mrefukwa uhuru wako.
 
Back
Top Bottom