Ni marufuku kuchinja wanyama eneo hili jamani

Ni marufuku kuchinja wanyama eneo hili jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
1146495_402062713226692_545962705_n.jpg
 
hapo ni kona ya oysterbay kutokea salender bridge kuna mbuyu flani hv mara kwa mara ulikuwa unajaa vitambaa vyekundu na vyeusi ukipita barabarani
 
Ina maana hapa ndiyo ilikuwa MAROGEONI??? Hapo inabidi waweke MGAMBO wa Halmashauri kulinda jamaa wasije kufanya mambo yao!!!! Taabu Mgambo inatakiwa awe fit maana naamini mabaki ya hivyo vilivyozikwa hapo yanatosha kumfanya mgambo awe chizi:smile-big: Tangaaaaaa kunaniiiiii paleeee......
 
Nyakati za usiku shughuli zinaendelea kama kawaida mbona,hakuna anayefuatilia agizo hili na wameona bango linatosha.
 
Inaonekana ni pa muda mrefu na Bango limeaanza kuchoka, Pana Nini Hapo mpaka iwe hapo?????

Mungu aingilie kati, kizazi hiki kinaangamia
 
Wanawaonea watu wa wilaya ya Kinondoni mbona hawaweki kule wilaya ya Msoga kunakojulikana sana kwa mambo ya ulozi!!
 
Mkuu ulienda kwa hiyo shughuli ukakumbana na hilo bango?
 
Back
Top Bottom