Ni mara ya pili sasa nachapiwa

Chukua aliyebize kama hao waaoshinda nyumbani wamekukatili.
 
mwanamke mchakarikaji hana mawazo ya mbupu holela ila pia akiwa na mambo yake sio rahisi kujua na atafania mbali huko ushenzi wake mtaani atakupa heshima. NB wana roho kama sisi ila dawa tendea pale kati kazi kisawasawa, maana wazee wanasema wanawake wana masikio 3 haya mawili ukiyashindwa basi malizia hilo moja kultendea maajabu maana na lenyewe ukilishindwa sasa mwana ankuwa si wako tena piga mbupu sanaaa
 
Ukiona hivyo, umeoa kahaba au umtoshelezi. Jitafiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…