Ni mara 100 ukutane na Chui kuliko Mamelod Sundown

Msubiri kipigo kutoka kwa Mwarabu.

Yanga habari nyingine haimwogopi mtu, Mikia ni mashahidi mlikula tano zenu safi.
Tano za mchongo nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Yanga inashinda tano kwà halali mfano goli la tano dhidi ya IHEFU kifupi kutàfuta records kwà dhuluma ni ujinga
 
Tano za mchongo nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Yanga inashinda tano kwà halali mfano goli la tano dhidi ya IHEFU kifupi kutàfuta records kwà dhuluma ni ujinga
Ni kweli ni Tano za mchongo maana hata sisi Simba tuliuza mechi Kwa utopolo...yaani hawa jamaa michongo kila sehemu.
 
Kwa hiyo unamaanisha mechi isichezwe ifutwe akatafutwe chui akutane na yanga? Au,

We vp?

Mchezo utaochezwa hiyo siku ndo utaamua sio hizi porojo zako hapa!
Kwanza lengo la Yanga limevuka lengo alilojiwekea. Hiyo ni kama ziada akipigwa ni kama kapiga.
Ha ha haa 😆😆😆
Kama Mandoga mtu kazi "nikikupiga nimekupiga na ukinipiga nimekupiga pia".
 
Ha ha haa
Kama Mandoga mtu kazi "nikikupigia nimekupiga na ukinipiga nimekupiga pia".

Kolo kelele zimekuwa mingi kama vile wao hawana mechi ya kujadili au kama vile wametumwa kututisha na kutuvuruga kiakili. Nyuzi za yanga zimezidi mno na mbaya wao ndo waanzishaji.
 
Kolo kelele zimekuwa mingi kama vile wao hawana mechi ya kujadili au kama vile wametumwa kututisha na kutuvuruga kiakili. Nyuzi za yanga zimezidi mno na mbaya wao ndo waanzishaji.
Waoneeni huruma wamechanganyikiwa kichaka chao kimefyekwa hawajui wajifiche wapi.
 
Unavyo wapelekea Moto ...
Toka Jana mpaka siku ya mchezo taifa linahuzika
Msiwatishe yanga,kama sisi Simba tulishindwa kuwafunga ni sisi sio wao!!

Mechi ninmbinu na mpango kazi TU,Arsenal,mancity na liver zipo pale juu lakini zimefungwa na timu za kawaida TU!!

Mpira ni dakika 90,

Watani jipangeni muitangaze Tanzania!!
 
Back
Top Bottom