Ni mapezi ya kweli au ni nini?

Ni mapezi ya kweli au ni nini?

Mi wachaga wananikera kweli na misimamo yao uchwaraaa, ndiyo maana katu sitokaa niingie kwenye mahusiano na mchaga maishq yangu bora niwe singo
Kulikoni mkuu..............yepi yamekukuta kwa hao akina meku............?
 
Pole mkuu, tunajua n wewe ndio yamekukuta... Kafany mpango wa plastic surgery warekebshe uso huo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Mi wachaga wananikera kweli na misimamo yao uchwaraaa, ndiyo maana katu sitokaa niingie kwenye mahusiano na mchaga maishq yangu bora niwe singo
pole sna bibie

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Naye fala tu kisa mapenzi ndio kujitia kilema cha kujitakia na kuwa kama zombi. Apambane tu na hiyo hali yake tu maana hamna namna.

Ni fala kweli hivi wewe kujichanja uso kitu kidogo? wanawake wameisha au umeshindwa kusubiri?
 
Naye fala tu kisa mapenzi ndio kujitia kilema cha kujitakia na kuwa kama zombi. Apambane tu na hiyo hali yake tu maana hamna namna.

Au labda umri umeenda sana? hata kama ukitoka tu nje ya geti lako unakutana na warembo kibao wasio na kujichanja uso....mweh!!!
 
Pia angewashirikisha ndugu zake kabla hajafanya hivyo....ili kupata baraka zao
 
Pole mkuu, tunajua n wewe ndio yamekukuta... Kafany mpango wa plastic surgery warekebshe uso huo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
jamaa kakataa kabisa kufanyiwa plastic surgery........kwa sasa anaishi Mbagala na mambo yake yanamuendea vizuri kwa kipato..........Ndugu zake wanaanza kujipendekeza.......
 
Au labda umri umeenda sana? hata kama ukitoka tu nje ya geti lako unakutana na warembo kibao wasio na kujichanja uso....mweh!!!
Mkuu huyu Jamaa ni kijana tu wa 40 hivi.....kwa sasa amefanikiwa sana kiasi kwamba jamaa zake wanashinda kwake tu......
 
jamaa kakataa kabisa kufanyiwa plastic surgery........kwa sasa anaishi Mbagala na mambo yake yanamuendea vizuri kwa kipato..........Ndugu zake wanaanza kujipendekeza.......
ndo bnadam hao

Sent from my Android phone
 
Back
Top Bottom