Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,353
- 111,633
Hakuna hasara yoyote...maisha huanza na wewe, ukoo mwingine utazaliwa kupitia wewe...
Mkuu acha kujoki unauliza hasara zakukataliwa na ndugu zako mfano watoto wako wa kuwazaa, mama, baba, nk...............!!!! kwa mila za Kiafrika si jambo dogo hilo labda wenzetu ''Wadhungu''.............