Ni mambo ya aibu sana mwanaume kwenda studio kufanya photoshoot

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,377
Hivi hawa wanaume wenzetu wanaoendaga studio kufanya photoshoot na kuzitupia mtandaoni wako sawa kweli kiuanaume

Dume zima linaenda studio kupiga picha eti apost siku ya birthday yake huo ni umama pro max

Wengine sasa wameamua nao watumie photo lab kama wadada. Mnatuaibisha wanaume wenzenu.
 
Hicho umeweka kwenye hiyo profile pic yako ni ki nini?
 
Mara mwanaume asile chips
Mara Asiwe na dressing table
Mara ice cream pia marufuku...
Mara wali pia marufuku..

Hayaishi manake
Watafika mahali watakutana na wenzao wana waambia hizo kazi zao zote za maofisini, viwandani na kuendesha mitambo ni umama tu, mwanaume anatakiwa afanye kazi kama hizi.
Sasa sijui wataunga mkono au watakimbia.
 
Hivi hawa wanaume wenzetu wanaoendaga studio kufanya photoshoot na kuzitupia mtandaoni wako sawa kweli kiuanaume

Dume zima linaenda studio kupiga picha eti apost siku ya birthday yake huo ni umama pro max

Wengine sasa wameamua nao watumie photo lab kama wadada. Mnatuaibisha wanaume wenzenu.

Inategemea upo shamba au kwenye majiji Makubwa.
Ukiwa kijijini lazima na mawazo ya kishambashamba, lakini ukiwa mjini lazima uwe na Akili za kimjinimjini.

Iko hivyo Mkuu. Ni ishu ya attitude ya kishamba na attitude za kisasa
 
Hivi hawa wanaume wenzetu wanaoendaga studio kufanya photoshoot na kuzitupia mtandaoni wako sawa kweli kiuanaume

Dume zima linaenda studio kupiga picha eti apost siku ya birthday yake huo ni umama pro max

Wengine sasa wameamua nao watumie photo lab kama wadada. Mnatuaibisha wanaume wenzenu.
Sio kama napingqna na mleta mada ila wanaume tunajiwekea vikwazo vingi ndio maaana tunakufa haraka tukiwa bado vijana
 
Back
Top Bottom