Ni mambo gani ya kuzingatia unaponunua kiwanja au nyumba?

Ila kama unaweza kufuatili wizara ya ardhi fuatilia ujue unachotaka kuuziwa kama hakina mgogoro au hakipo ndani ya hifadhi ama ya barabara, chanzo cha maji au ya wanyama.

Kuna kiwanja kiliuzwa haraka haraka na wenge la hali ya juu baada ya Magufuli kuamua kuongeza umbali wa makazi kutoka hifadhi ya chanzo cha maji.
 
Aisee " hahaa ..kama mpaka wewe unafahamiana nae "basi nimeshagairi " wewe sio mtu mzuri aisee
Kazi yako kuharibu mabinti tu wewe hearly lazima tuanzishe kampeni ya kuwaonya new comer wasikusogelee na uzi wowote ukicomment wasirudi tena.

Ndugu una sumaku ya warembo au
 
Kazi yako kuharibu mabinti tu wewe hearly lazima tuanzishe kampeni ya kuwaonya new comer wasikusogelee na uzi wowote ukicomment wasirudi tena.

Ndugu una sumaku ya warembo au
Acha basii yaani tabia yako mbaya wanipachika mimi ".... haya maneno labda umeamua kujisema mwenyewe ila umetumia jina langu kama sehemu ya fasihi katika kujifikishia huu ujumbe haha
 
Habari zenu Great Thinkers
Najua humu kuna wataalamu mbalimbali wa mambo ya ardhi, sheria n.k , na wengine ni wazoefu wa haya mambo hata kama hawapo kwenye sekta yoyote rasmi.
Naomba kujua kwenu mambo ambayo mtu anatakiwa kuzingatia anaponunua nyumba, shamba au kiwanja kutoka kwa mtu mwingine au taasisi maana wengi wamejikuta wakiingia kwenye migogoro kwa sababu ya kufanya mambo kienyeji.
Nawasilisha
NB: Sio kwamba nataka kununua kiwanja kwa sasa ila nataka tu kujifunza elimu nitakayoipata inaweza kumfaa hata ndugu yangu au mimi mwenyewe siku za mbeleni . maana naona watu mnaanza kunipongeza

Hakikisha umemlipa Dalali wako kadiri mlivyokubaliana awali.

Hii inaitwa Uungwana na Utabarikiwa.

Asante.
 
Shukrani mdau ila nitajuaje kama haijatumika kukopea?
Hakikisha kiwanja kiwe kimepimwa, Hati isiwe imetumika kwenye mkopo Iko Benki, endapo ni cha Urithi uwe makini walengwa wooooote washirikishwe, ujiridhishe na watumiaji wengine isije kuwa eneo husika lina bomba la maji,gesi nk mwisho wa siku ukaliwa, epuka kununua uwanja jirani na Makanisa ya Kiroho, Baa, msikiti nk kuepuka kelele ambazo zitafanya ujute maisha yako yote. Mwisho usiiikarbie Kambi ya Jeshi kuepuka yale ya Mbagala lkn pia siiii majirani wazuri. Over
 
Mambo si haya mhandisi
1. Angalia kama umelipenda eneo na ni la hadhi yako.
2. Angalia muundo wa kiwanja tambarare au mteremko na fananisha na uwezo wako.
3. Jiridhishe umiliki halali wa muuzaji.
4. Jiridhishe uhalali wa matumizi ya kiwanja kwa kwenda manispaa au ardhi.
5. Tafuta mwanasheria asimamie manunuzi.
6. Pima eneo kama halijapimwa.
7. Tafuta hati.
8. Tafuta kibali cha kuendeleza eneo.
9. Angalia mfuko wako.

LAST BUT NOT LEAST

Numbers 33:53-54

and you shall take possession of the land and live in it, for I have given the land to you to possess it. 'You shall inherit the land by lot according to your families; to the larger you shall give more inheritance, and to the smaller you shall give less inheritance. Wherever the lot falls to anyone, that shall be his. You shall inherit according to the tribes of your fathers.
 
Oooh sawaa
Ila kama unaweza kufuatili wizara ya ardhi fuatilia ujue unachotaka kuuziwa kama hakina mgogoro au hakipo ndani ya hifadhi ama ya barabara, chanzo cha maji au ya wanyama.

Kuna kiwanja kiliuzwa haraka haraka na wenge la hali ya juu baada ya Magufuli kuamua kuongeza umbali wa makazi kutoka hifadhi ya chanzo cha maji.
 
Back
Top Bottom