Ni mambo gani ya kuzingatia unaponunua kiwanja au nyumba?

Haha pacha mimi nitaashum ndio unautoa wewe. Yaani tangu uzi huu umeanzishwa hadi leo niwe sijanunua kama ningekuwa na hela
Kuna comment moja sijaisoma hapa 'TUSHAJUA UMEPATA HELA ZA KUNUNUA KIWANJA'...
 
Habari zenu Great Thinkers
Najua humu kuna wataalamu mbalimbali wa mambo ya ardhi, sheria n.k , na wengine ni wazoefu wa haya mambo hata kama hawapo kwenye sekta yoyote rasmi.
Naomba kujua kwenu mambo ambayo mtu anatakiwa kuzingatia anaponunua nyumba, shamba au kiwanja kutoka kwa mtu mwingine au taasisi maana wengi wamejikuta wakiingia kwenye migogoro kwa sababu ya kufanya mambo kienyeji.
Nawasilisha
NB: Sio kwamba nataka kununua kiwanja kwa sasa ila nataka tu kujifunza elimu nitakayoipata inaweza kumfaa hata ndugu yangu au mimi mwenyewe siku za mbeleni . maana naona watu mnaanza kunipongeza
Siku hizi kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa. Vingi no nje ya mji. Wanashuhhulikia kila kitu hadi hati ya kiwanja wewe unalipa tu hela mliokubaliana.
Viwanja bei inaanzia 5000-10,000 kwa Square meter moja. Malipo kwa awamu kulingana na makubaliano yenu.
 
Kwa hiyo ukiwatumia hawa huna haja ya kwa na wasiwasi viwanja vyao viko clean?
 
Back
Top Bottom