Ni mali ya mtoto au mume au mke? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mali ya mtoto au mume au mke?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 11, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Ni mali ya mtoto au mume au mke?

  Matiti hutoa chakula cha mtotoLinapokuja suala la matiti wanaume wengi (si wote) hunyang'anyana hati miliki ya matiti na mtoto anayenyonya hata hivyo wanawake nao kila mmoja ana mtazamo wake tofauti, hebu angalia maoni ya wanawake hawa wa Nigeria wanavyojibu swali la nani ni mmiliki halali wa matiti ya mwanamke.

  Mrs. Arogundade
  Mume wangu ndiye anamiliki matiti yangu kwa sababu mume alikuja kabla ya mtoto.
  Baada ya mtoto kunyonya kwa muda inakuwa zamu ya mume wangu kwani tunalala kitanda kimoja.
  Mtoto wangu ana access ya matiti yangu kwa muda tu wakati mume wangu ni mali yake maisha yetu yote.
  Matiti yangu ni kitu ambacho mume wangu huchezea na pia ni mto wake wa kulalia.
  Ukweli ni kwamba mume wangu hujisikia wivu kama mtoto wangu ataendelea kunyonya zaidi ya muda aliopewa.
  Linapokuja suala la matiti yangu mume wangu huwa anachanganyikiwa, hawezi kufanya ile kitu (sex) bila matiti yangu.
  Mrs. Omisade
  Mume wangu ni mmiliki ya matiti yangu.
  Mume wangu akiyakamata tu matiti yangu basi huwa tunakuwa na mahaba ya nguvu katika uso wa dunia.
  Mume wangu hawezi kuanza chochote bila kugusa matiti na pia hunisisimua sana kwa ajili ya kufanya mapenzi pia mume wangu huniambia huwa anamuazima mtoto wetu matiti na akimaliza anatakiwa kurudishiwa mali zake kutoka kwa mtoto.
  Mrs. Alhaja Sadiku
  Kitu kimoja ninachopenda kuhusu mume wangu ni pale anapochezea matiti yangu kama vile machungwa, pia huwa namruhusu mtoto wangu kuchezea matiti kwa kadri anavyoweza.
  Najua mume wangu alilipa mahari kitu inachompa access ya mwili wangu wote.
  Matiti ni kwa ajili ya chakula cha mtoto wangu.
  Mrs. Olagbaju
  Ukweli mume wangu ndiye anamiliki matiti yangu.
  Ila lazima akubaliane nami kwamba wakati tunayonyesha mtoto lazima aache kwa ajili ya mtoto wetu.
  Wakati ninaponyonyesha naweza kumruhusu mume wangu kuyachezea kwa mikono na si kunyonya.
  Mume wangu anamiliki matiti yangu permanently na pia anamiliki kila kitu nilichonacho pamoja na matiti.
  Mrs. Agunbiade
  Mtoto wangu ndiye anamiliki matiti yangu.
  Mume wangu ana mtazamo tofauti kwani huwa hapendi kabisa kuyanyonya, wakati nanyonyesha hapende kabisa hata kula chakula changu yeye hapendi kabisa harufu ya maziwa kutoka kwenye matiti yangu.

  Mrs. Amadi
  Mume wangu hawezi kufanya bila matiti, kabla kitu chochote kutokea yaani kufanya mapenzi lazima achezee matiti yangu na bila matiti siwezi kusisimka.
  Mume wangu husahau huzuni zote akianza kunyonya matit yangu.

  Mrs. Ganiu
  Mume wangu ndiye anayemiliki matiti yangu, mtoto wangu hunyonya kwa muda tu, then automatically matiti hurudi kwa mume wangu.

  Mrs. Daniel
  Mume wangu anamiliki matiti yangu kwa sababu alinioa kihalali.
  Tunapotaka kuwa kwenye huduma ya pamoja ya usiku kila mara ni utukufu, huanza kwa mume wangu kunichezea matiti yangu na kuyakandakanda halafu tendo huanza.
  Mrs. Omole
  Mume wangu aliniambia kwamba nilipokutana naye kwa mara ya kwanza matiti ndiyo kitu kilimvutia sana yeye, hivyo ni mali yake, najua matiti yangu ni sehemu ambayo mume wangu ni dhaifu, siwezi kumnyima mali zake, hata kama mtoto wangu anayanyonya, mume wangu bado huyanyonya na kuyachezea.
  Mrs. Ojo
  Kabla ya mtoto kuzaliwa matiti yangu yalikuwa ni toy la mume wangu kuchezea.
  Baada ya mtoto matiti ni kwa ajili ya mtoto, mume wangu anaishia kuchezea tu si kuyanyonya.
  Mrs. Alao
  Mume wangu anamiliki matiti yangu kwa sababu tulikuwa pamoja kabla ya mtoto kuzaliwa.
  Moto anaweza kuazima matiti kwa muda tu, mume wangu anamiliki matiti yangu permanently na mtoto huwa yake kwa muda.
  Mrs Salome
  Mume wangu ni owner wa matiti yangu.
  Hawezi kufanya mapenzi bila matiti yangu.
  Mume wangu huniambia matiti yangu ni chakaazi (succulent ).
  Matiti yangu humpeleka mbali sana mume wangu na husisimka hadi kufika juu sana hata kabla hatujaanza kitu chenyewe.
  Mtoto wangu ipo siku atayacha na kwenda kuanza nyumba yake hivyo lazima nimridhishe mume wangu kwa matiti yangu.Mungu alinipa matiti ili kumridhisha mume wangu katia suala la tendo la ndoa.
  Siwezi kunyonyesha mtoto miezi 7 bila kuyarudisha kwa mmiliki wake ambaye ni mume wangu mpenzi.
  Je, wewe kama ni mwanamke matiti yako ni mali ya nani?
  Mtoto au mume wako?
  Source: Modupe Okanlawon & Omowunmi Owoyomi
  Daily Sun News, Sunday, June 8 , 2008
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Jun 12, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hao wababa, huwa wananyonya hao matiti kushindana na watoto kwa kutaka kunywa maziwa ama...!?:confused:
   
 3. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Hata mie nimeshtuka, ninavyoelewa mimi wakati mtoto ananyonya ni likizo kwa baba maana atatoka na maziwa tu labda kama anapenda labda kuchezea..lol!
  Hiyo ni mali ya mama(mmiliki mwenyewe), haki ya mtoto wakati amezaliwa mpaka kipindi chote cha unyonyaji na vilevile ni kiburudisho kwa mwanaume bila kuingilia ratiba za mtoto.
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Jun 12, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Halafu unashangaa...! Mtoto miezi mitatu ana utapia mlo!
   
Loading...