Ni makusudi au?

Ni kwa ajiri ya walemavu bila shaka...

Basi huyo hapamfai hapo! Sidhani kama Tanzania tuna kitu kama hiki au pengine ni ile notion ya kudhani kuwa mlemavu hawezi kwenda ATM
 
Last edited by a moderator:
Waniwie radhi ndugu zangu walemavu mimi na wengine wengi ikiwemo serikali yetu tukutu hatujawahi kuwaza jambo kama hili kwa watu kama hao
Mkuu wasema nini? Serikali... khaaa Siri-kali haikujaali Walo wazima wa afya na wenye kulipa kodi zote, iwakumbuke raia namba tatu (3rd class citizen) !!
 
Hii nadhani imewekwa kwa ajili ya walemavu, naona jamaa kakomaa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…