Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
msomi kutoka chuo kikuu cha dsm dk benson bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.dk bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.dk bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.
source:uhuru jumatano
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.
Source:Uhuru Jumatano
Ukiona msomi wa level ya udaktari(haijalishi kaipata vipi) anakosa aibu na kuzungumza mambo ya namna hiyo ujue anakaribia kufa.Shehe Yahya naye siku za mwisho za Uhai wake alikuwa anatoa matamko tata namna hiyo kilichofuata baada ya muda mfupi wote twakijua. Huyu Bana muda si mrefu tutamwimbia nyimbo na kumuombeaMsomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.Source:Uhuru Jumatano
Napendekeza iundwe tume ichunguze ni nani alimpa huyu BANA vyeti wakati dalili za awali zote zinaonyesha huyu ni msukuma mkokoteni?
wewe mzee ni freemason nini???????
Hapo sikubaliani na Dr. Bana kabisa, Mawaziri wanafanya ufisadi na ushahidi upo halafu watu wasiwajibike, hiyo hapana, kama kuna shinikizo kwa mtu msafi hapo unasema sawa lakini kwa mtu ambae anaihujumu nchi na wabunge wamehakikisha hilo sasa kwa nini shinikizo lisitoke, TZ ni tofauti na nchi nyingine, kujiuzuru inaonekana ni kitu kigumu saana, ila kwa wenzetu ni kiti cha kawaida