Ni makosa gani yanayoweza kuvunja ndoa?

Ni makosa gani yanayoweza kuvunja ndoa?

Pia kuna usiri. Usiri waweza kuvunja ndoa. Una miradi na vitega uchumi bila kumshirikisha mwenzako, akigundua ndio mwisho wa ndoa yenu.

hili linawahusu sana wanaume... mf. mzuri sharobaro alikuwa na vitega uchumi vingi sana bila mkewe kujua... alipofariki ndo ikajulikana mbaya zaidi vingine havikuwa kwa jinale... sasa hapo faida ni kwa nani?
 
Hata kama ni ya kanisani,
Kama hakuna unyumba
Mwanando mmojawapo kuwa kichaa
Kifungo cha muda mrefu gerezani
Uchawi

Inategemea ni ndoa gani, serikali au dini.
Kwa kanisa Katoliki , inatenguliwa kwa
1. Kama uliyefunga naye ndoa ametishia kukuua
2.Kama mwanaume ni ******* na hawezi tibika
3.
4.
Lakini kama ni kivyavyako basi ukijisika tu.
 
ndoa inavunjika kirahis sana ukijifanya una go by the book,,,
 
Kama nimegundua wife ana "Mpango Wa kando" lazima ndoa ivunjike!
 
Mume akiwa shoga(anakula na kuliwa). wapo wengi mjini nikianza na M_ G_ _ _L_
 
Kuna ma kosa mengi yanaweza kupelekea kuvunjika kwa ndoa
* kwenye swla la uzinzi mpaka ithibitike pasi na shaka.

* kama mmoja kashindwa kutumia ndoa basi inaweza kuvunjwa
*Baba kushindwa kutimiza majuku yake ikiwemo kutoa huduma kwa mke .
kama unge uliza mazingira yanayo weza kupelekea kuvunjika kwa ndoa yange kuwa mengi zaidi!
Hebu tuyataje.
1. Uzinzi
 
HAYA NDIO YANAWEZA KUVUNJA NDOA 1. Adultery-UZINZI 2. Desertion-Kukimbia ndoa kwa kipindi cha zaidi ya miaka 5 bila kuonekana. 3. Cruelty-Ukatili kumpiga,kumnyanyasa,kwa vitendo au kisaikolojia 4. Imprisonment-Kufungwa jela angalau kwa kipindi cha miaka 5 5. Diseases of mind-kuugua ugonjwa wa akili ambao hautibiki N ili hiyo ndoa iweze kuvunjika lazima iwe imedumu kwa miaka miwili na kuendelea general rule. Kama unataka ufafanuzi zaidi pitia sheria ya ndoa ya mwaka 1971 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.
 
hakuna vitu vinavyoweza kuvunja ndoa yako zaidi ya nafsi yako mwenyewe!
 
yanatofautiana kati ya mtu ana mtu

yatakayomfanya A avunje ndoa si sawa na B
 
Jamii Forum inaweza vunja ndoa yako. Utakuja hapa kuandika habari kuwa mkeo yuko hivi na hupendezewi na tabia fulani za mkeo kumbe naye ni member humu. Naye atakuja hapa atayasoma hayo uliyoandika dhidi yake, itamuuma sana kisha atahamua kuachia ngazi.
Ni kweli kabisa. Hivo ni vema kusitiri ID yako..
 
Mimi ndoa yangu itavunjika siku mke wangu akikiri, kwa maneno au matendo kuwa mimi sistahili kuwa mmewe... Usinzi n.k ni makosa ambayo anaweza kutenda binadamu yeyote but as long as itaonekana ilikuwa 'bahati mbaya', atajuta na kukiri kuacha, msamaha unajadilika...

I like this, it seems you are so positive in analyzing issuies and make decisions, a thing which will rescure your marriage till death do you apart!
 
Back
Top Bottom