Ni makosa gani yanayoweza kuvunja ndoa?

Ni makosa gani yanayoweza kuvunja ndoa?

Mimi ndoa yangu itavunjika siku mke wangu akikiri, kwa maneno au matendo kuwa mimi sistahili kuwa mmewe... Usinzi n.k ni makosa ambayo anaweza kutenda binadamu yeyote but as long as itaonekana ilikuwa 'bahati mbaya', atajuta na kukiri kuacha, msamaha unajadilika...
 
uchawi, hebu fikiria, umeolewa na mtu mchawi, usiku anakuacha anaenda kula nyama za watu, nimvumilie wa nini?
 
uchawi, hebu fikiria, umeolewa na mtu mchawi, usiku anakuacha anaenda kula nyama za watu, nimvumilie wa nini?

Wa hivyo huwezi kumuacha then, maana atakulainisha...
 
Inategemea ni ndoa gani, serikali au dini.
Kwa kanisa Katoliki , inatenguliwa kwa
1. Kama uliyefunga naye ndoa ametishia kukuua
2.Kama mwanaume ni ******* na hawezi tibika
3.
4.
Lakini kama ni kivyavyako basi ukijisika tu.
 
1. Uchawi
2. Kukoroma wakati wa usiku mkiwa mmelala
3. Kukojoa kitandani kila siku
4. ugonjwa wa kifafa unapomfika mwezi wako
5.
6.
7. Ugomvi kila siku

 
Jamii Forum inaweza vunja ndoa yako. Utakuja hapa kuandika habari kuwa mkeo yuko hivi na hupendezewi na tabia fulani za mkeo kumbe naye ni member humu. Naye atakuja hapa atayasoma hayo uliyoandika dhidi yake, itamuuma sana kisha atahamua kuachia ngazi.
 
Pia kuna usiri. Usiri waweza kuvunja ndoa. Una miradi na vitega uchumi bila kumshirikisha mwenzako, akigundua ndio mwisho wa ndoa yenu.
 
Back
Top Bottom