NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,869
- 5,170
Point mkuuNaamini zaidi M-pesa ila weka kidogo na nyingine wekeza kwenye ardhi . Ardhi inapanda bei lakini benki inatafuna pesa
Point mkuuNaamini zaidi M-pesa ila weka kidogo na nyingine wekeza kwenye ardhi . Ardhi inapanda bei lakini benki inatafuna pesa
Kabisa mkuu, ardhi ni dhahabu.nunua mashamba/ardhi hela yako haitokatwa wala kupotea zaidi zaidi ardhi/shamba lako litapanda thamani