Ni magazeti yapi? (taja) yanayofichua uovu wa serikali na yapi yanatumiwa na mafisadi?

jaridotcom2

Member
Jul 26, 2012
62
11
kwa uelewa wangu mdogo najua mwanahalisi linaongoza kwa kusema ukweli na kufichua maovu ya serikali lakini ningependa kutajiwa magazeti mengine yanayojitahidi kufichua na yale ya kishezi ni yapi yanayotumiwa na mafisadi kukumbatia uovu nitajie na mmiliki wake Plse.
 
Raia Mwema linajitahidi kufichua ila Mwananchi siku hizi linaelekea pabaya baada ya Tido kwenda pale...
 
Mwanahalisi tu,habari zilizofanyiwa tafiti,makala zenye mashiko na kuelimisha.kimsingi ndo gazeti pekee ambalo haliyumbishwi kwan dira yake ni ile ile,kumkomboa mwananchi
 
kwa uelewa wangu mdogo najua mwanahalisi linaongoza kwa kusema ukweli na kufichua maovu ya serikali lakini ningependa kutajiwa magazeti mengine yanayojitahidi kufichua na yale ya kishezi ni yapi yanayotumiwa na mafisadi kukumbatia uovu nitajie na mmiliki wake Plse.

Mwananchi linatumiwa na zito kujtangaza rais 2015 japo kalisalt juz
 
Mwanahalisi kiboko afu nachowapendea hawaogopi, wanajua kabisa habari wanazotoa zinaweza kuwapeleka mabwepande lakini bado wanazichapisha i like that BIG UP mwanahalisi nendeni na moyo huo huo na sisi tutanunua magazeti yenu
 
Raia Mwema linajitahidi kufichua ila Mwananchi siku hizi linaelekea pabaya baada ya Tido kwenda pale...

Eti tido ataharbu mwananch? wewe uko tanzania gani TIDO Alyerudisha hadHi ya TBC Na kusema ukwel ripot za matokeo ya uchaguz 2010 mpaka JKilaza akamtimua? ha ha ha jpange upya
 
Uhuru linambwelambwela, yaani halina dira wala mwelekeo.
Sidhani kama mhariri wake ana uhuru kweli wa kuchuja habari

Uhuru gazet la mapunga zeze, Kila cku Wanajadil UVCCM cjui hawazjui? mhariri wake Ni Angel Akilimali alisomea shule ya sekondari Didas MASABURI
 
Uhuru ndio gazeti pekeee lenye kutoa habari za ukweli na uhakika, mengine ni wazushi tu
 
leo habari leo wamejitahidi kuandika uozo
na hata TBCCM1 yao na radio zao wamejitahidi kutangaza kwa kina kuhusu uozo uliopo tanesco na wabunge vibaraka
ila kwa habari za kina bado mwanahalisi lipo juu
 
Gazeti lingine la hovyo,ni TAZAMA. Nashangaa hamligusi. Kuna Mwandishi mmoja anaitwa Julius Mapunda,wa hovyo huyooooooo........!!
 
Mmezoea kusoma magazeti yenu yanayoandika habari za vijiweni, licha ya kumilikiwa na CCM but Uhuru na Mzalendo yamekuwa mstari wa mbele kuandika habari zenye maslahi kwa taifa. Unakumbuka habari ya kuuzwa kwa ufukwe wa Coco, saga nzima ya Injinia Mhando, ufisadi wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja na nyingine nyingi. Hao Mwanahalisi walikuwa wapi au walionwa coz kama ukiona habari imeandikwa basi hawajaonwa katika bahasha.
 
Back
Top Bottom