Ni maandamano au ni mapinduzi?

Sijamtisha mtu bali nimeeleza uhalisia. Fanyeni hayo mapinduzi dhen muone cha mtema kuni
(Umesema fanyeni mapinduzi) halafu.. Sasa hapo nani atakuwa na mamlaka maana tayari mapinduzi yameishafanyika
 

mmetangaza mapinduzi endeleeni nayo suluhu ya nini???
 
yapewe jina lolote ilimradi yawe effective enough kumtoa joka pangoni!!
 
Hahahahahahaaaaaaa. Hapo mmeeleweka. Siku hiyo wanaume wa Kazi watakuwa na zana zote halali. subirini mkufilie mbali wakati huyo anayewahamasisha ananyonya koni huko majuu

wacha waenbde kwao sio ndugu zetu tunaishi nao kila siku kitaa! sijuhi kmaa wanaweza fanya hivyo unavyofikiria.
 
26April2018, majibu yameanza patikana Sirro kakutana na Watangulizi wake.Asanteni Watanzania wenye nia njema pazeni sauti.Wajinga wachache tuwaelimishe.
 
Nasikia vikosi vyote nchini wameshanza kutest mitambo. Target ya kwanza ni Mbowe, Zitto na genge lao. Lazima wajue kuna vyombo vya dola
mbona jeshi halihitaji maelezo mengi na utaenda kumuuliza nani ss wengine tunapenda kuangalia picha za kutisha kuona mtu kamwagwa ubongo
 
Kwani wewe kwa akili yako unafikiri Misri, Libya, Romania, Ethiopia, Zimbabwe, nk nk hawakuwa na vifaru? Unaongea kama vile hata kusikiliza redio haujawahi!
naww unajikuta mwarabu mweusi andamana
 
Wao wanahamasishana mapinduzi yaani revolution kama Yale ya Arab spring.Hivyo wanatakiwa kukabliwa kwa nguvu zote tena za uhakika ni vizuri mabomu ya kupasulia makalio yawekwe tayari kumpasua kila ngedere atakayeleta za kuleta bila huruma hata chembe.Huruma huwezi hurumia ngedere utakuta kala mahindi yote.
 
Gadafi alitisha hivyo hivyo mwisho wa siku alifia kwenye mtaro wa mavi
Aliruhusu uraia wa nchi mbili mi diaspora isiyotakia nchi amani kama mange ikaingia Libya na kuanza kusumbua Ndani ya Libya Tanzania tumegoma katakata duo citizenship Hao akina kimambi wanajua siku wakikanyaga tanzania ndio mwisho wao.Hiyo ni diaspora yenye duo citizenship jeuri yao mwisho mitandaoni
 
Upinzan WA Tanzania bla bla nyingi wamepoteza dira Sasa hv Kla mtu anaongea analoweza Kuongea Kama Ufipa kila mtu kawa msemaji
 
Ndo maana wanasisitiza Katiba Mpya ili hayo mambo yao ya ushoga na uraia pacha yaruhusiwe
 
Eti wanaume was kazi!!! Kama kungekuwa na wanaume wa kazi Tanzania wao ndiyo wangeongoza hiyo demonstration!
 
Siku hizi unaakili zamani ulikuwa unakera sana naona pepo la lumumba limekutoka
 
Hakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
Eti kutumia silaha zote, yaani maandamano tu zitumike silaha zote.
Na silaha zipi zitatumika endapo watu watakuwa na silaha na wao?
Kumbe wewe ni mjinga hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…