Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,518
Hiii kali, Muheshimiwa Waziri fulani, ilisemekana alitembelea mkoa wa Arusha kwa ziara ya kufungua kisima,alipo fika pale kisimani akachugulia alipo ona sura yake aliruka kwa kukwepa,akisema "Mamba..kuna mamba hum..! je unafikiri ni waziri gani??? heheheheheh.... simo