Ni lunch ya mtu hii!!!

Kaka za masiku kwanza? Umepotea sana wallah, mimi mzima alhamdulillah, na wewe?

Kakangu, dunia hii ni mizunguko na mihangaiko kuna walofika kuna walokatiza na kuna akina sisi ! Yote heri mkuu.... tutaonana karibuni, welcom mkuu..
 
Kakangu, dunia hii ni mizunguko na mihangaiko kuna walofika kuna walokatiza na kuna akina sisi ! Yote heri mkuu.... tutaonana karibuni, welcom mkuu..

Amin kaka, ila usikubali dunia ikakufanya uwe busy sana, huu ni mtahani tu Mungu ametupa unaitwa "busy" ila tusimsahau yeye....
 
baada ya muda lazima matatizo ya tumbo yaanze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…