Huyo aliyeuliza hivyo yeye anazo?
Mamaaaaaaa.............sasa unacheka nini sarikoki, kinachochekesha hapo ni nini.............badala ya kushow positiveness unacheka........wewe niaje bandugu...........hela ngumu kwani hujui.......na dogo anataka hubby wake awe na hela!!!!!!!
Nimekasirika ujue maanake hapa sina hela halafu naona mmekalia hela tu...........hata nimekusunya
pochi za designers mchezo!kama yeye mwenyewe bi harusi hana hela why anategemea kaka wa watu awe na hela. hawa wanawake tegemezi watawatokea puani. anataka viatu vya mariedo na CL na hana mia!:tape2::tape2:
kama yeye mwenyewe bi harusi hana hela why anategemea kaka wa watu awe na hela. hawa wanawake tegemezi watawatokea puani. anataka viatu vya mariedo na CL na hana mia!:tape2::tape2:
Mamaaaaaaa.............sasa unacheka nini sarikoki, kinachochekesha hapo ni nini.............badala ya kushow positiveness unacheka........wewe niaje bandugu...........hela ngumu kwani hujui.......na dogo anataka hubby wake awe na hela!!!!!!!
Nimekasirika ujue maanake hapa sina hela halafu naona mmekalia hela tu...........hata nimekusunya
Mambo mengine unajikuta unacheka bila kujijua...maana hutegemei mchumba wako au mke wako akuulize swali kama hilo.....ni kweli inatia simanzi.
Kweli kabisa.....sababu ya kuambiwa hivyo kuna vitu anataka viwepo kwenye harusi..jamaa kamwambia mkwanja hautoshi ndo akapewa hiyo.
Wewe unaona hapo km kuna ndoa kweli.....dogo atakuwa stressed na anaweza fanya lolote kwa ajili ya mpenzi wake......
pochi za designers mchezo!
Kwa sisi watu wazima tumeshajua ukweli kaka......
alafu wewe!!!!::
Pesa?????
Ulikuja kufanya nini duniani...?aaa
=
muambie ndugu yako hiyo ndo trela movie yenyewe badoo. amnyooshe mapemaaaaa!