Ni lini ukomo wa kutafuta ajira?

Ni lini ukomo wa kutafuta ajira?

aikaruwa1983

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,398
Reaction score
1,504
Hey wana JF wasaka ajira kama mimi.

Nimekaa na kujiuliza toka nimemaliza chuo huu ni mwaka wa tatu nimekuwa nikiapply kazi kwa miaka yote hiyo lkn sijapata, pia nimejitahidi hata kutafuta mtaji nijiajiri lkn inakataa.

Sasa hivi nimekuwa naona matangazo ya kazi but nimekuwa mzito kuapply coz nafikiria je ni bora hela ya stamp niende gengeni kula au niendelee kuinufaisha Posta.

Naombeni ushauri hivi inatakiwa muda gani ufike ili mtu aache kutafuta kazi mm najua ukomo ni kupata kazi bt kazi hazipatikani, hebu tushauriane.
 
Kikubwa nachoweza kukushauri wahamasishe vijana wenzako wasiichague serikali legelege ya CCM na hao vijana waweilimishe mama zao na baba zao waachane na CCM,mana tunaitaji mabadiliko,ili na watu wengine waonyeshe skills zao mana tuna migodi mingi sana tungeweza kuwaajiri vijana wetu huko,tuna viwanda vilivyokufa vikifufuliwa vijana wetu wanatapata ajira,ila tukibaki na wimbo wa CCM wataendelea CCM na watoto wao kupeana ajira na kula national cake.
 
This life is harder, life is harder me ckati tamaa tamaa cku moja ntapata.
Mia.
ss Kanchi kama ukitumia ten years kutafuta kazi hivi hiyo taaluma yako itakuwepo kweli....maana ninachokifanya ss hv haiwezekani kuki-add kwenye CV...............i think one day yes itatuponza au!!
 
Kikubwa nachoweza kukushauri wahamasishe vijana wenzako wasiichague serikali legelege ya CCM na hao vijana waweilimishe mama zao na baba zao waachane na CCM,mana tunaitaji mabadiliko,ili na watu wengine waonyeshe skills zao mana tuna migodi mingi sana tungeweza kuwaajiri vijana wetu huko,tuna viwanda vilivyokufa vikifufuliwa vijana wetu wanatapata ajira,ila tukibaki na wimbo wa CCM wataendelea CCM na watoto wao kupeana ajira na kula national cake.

Mayuka issue siyo politiking ukweli hata hiyo nguvu ya kumobilise watu haipo..........uchaguzi uliopita nilifaya kazi hiyo bt raia wananjaa sana yaani akiona wekundu tu anuza kura.......!!!
 
Pole Mkuu, haitakiwi kukata tamaa maana ipo siku utafanikiwa tu. Tupo Wengi tu wa 08 lakini mambo bado si shwari lakini tunakomaa hivyo hivyo.
 
ss Kanchi kama ukitumia ten years kutafuta kazi hivi hiyo taaluma yako itakuwepo kweli....maana ninachokifanya ss hv haiwezekani kuki-add kwenye CV...............i think one day yes itatuponza au!!

Sawa ckatai lakini 2peane moyo wanajf na hiyo yes isha2ponza tayari wandugu.
 
We need to do something about this,mi mwenyewe nimepigika kitambo sana bila kazi,nimeona sasa niweke mavyeti pembeni nipambane mimi kama mimi
 
Pole Mkuu, haitakiwi kukata tamaa maana ipo siku utafanikiwa tu. Tupo Wengi tu wa 08 lakini mambo bado si shwari lakini tunakomaa hivyo hivyo.
thanks Likwanda ila kwa aliepiga kitabu then mambo hayaendi inauma vibaya mno...thanks kwa kunipa moyo najua wengine wanasema kusoma ni kitu kingine na ajira ni kitu ingine but reality ukitoka chuoni 100% tunafikiria kuajiriwa so kuanza kufanya kazi za manamba huku street ni kama kifungo cha nje!!!
 
We need to do something about this,mi mwenyewe nimepigika kitambo sana bila kazi,nimeona sasa niweke mavyeti pembeni nipambane mimi kama mimi

true man ss tukipigana kwa mwendo huu kweli itawezekana bt kwa stress za life nahisi umri wa kuishi unapungua coz inakuwa ngumu kutimiza ndoto.........
 
kikubwa nachoweza kukushauri wahamasishe vijana wenzako wasiichague serikali legelege ya ccm na hao vijana waweilimishe mama zao na baba zao waachane na ccm,mana tunaitaji mabadiliko,ili na watu wengine waonyeshe skills zao mana tuna migodi mingi sana tungeweza kuwaajiri vijana wetu huko,tuna viwanda vilivyokufa vikifufuliwa vijana wetu wanatapata ajira,ila tukibaki na wimbo wa ccm wataendelea ccm na watoto wao kupeana ajira na kula national cake.

well said... True fact
 
Tunasoma kwa tabu wazazi wanajinyima nyumbani wengine wanauza nyumba mtoto asome bt kaz zinatolewa kindugu,INAUMA SANA.
 
Dah aisee sina tofauti na mleta sredi...sijajua mwisho wake ni nini
 
Mfumo wetu wa elimu unamapungufu kidogo kwani watu wanaandaliwa kwa ajili ya kuajiriwa tena kwa nafasi zitakazotokea, kitu ambacho hakiendani na ulimwengu wa sasa. Nafasi ya kazi inapotokea utaona walio-apply ni wengi zaidi hivyo kufanya ushindani kuwa mkubwa zaidi.

Read inspirational books such as; Think and grow rich, Richest Man in Babylon, Why we want yo to be rich, Acres of Diamond etc.

Remember: "Winners do not do different things. They do things differently"
 
Haya mavitabu yanadanganya watu haya.
 
Back
Top Bottom