Ni lini tutafika hapa?

We pia kiazi umeona wapi raisi anaingia tu madarakani upinzani unahamasisha maandamano?huo muda wa maendeleo utatokea wapi?kwa kususa bungeni?mi sio ccm but im tellng you wenzetu wamepunguza hadi idadi ya vyama ili maendeleo yatekelezwe na kila mmoja na kwa wakati huku kwetu kila mkoa kuna chama(makadirio ya takwimu)
 
well said
 
Mpaka tufike huko aaa yesu atakuwa amesharudi na kuondoka..
 
Hawa walipata uhuru 1776, kwa hiyo wana miaka 240 ya kujitawala. Wao wako menopause, sisi tuko puberty. Usijali tutafika tu.
 
Maandamano yanazuiaje maendeleo? miaka 54 ya uhuru nchi imewashinda .
-Elimu duni
-Afya duni
-Viwanda 450 mmeua
-Dhahabu na wanyama mnatorosha nje.
Ni kipi mmefanya ccm cha kukumbukwa?
Ufisadi wenu na umaskini mlioleta ulitokana maandamano ya upinzani? nitolee hapa ubongo wako wa kuku.
 
Hawa walipata uhuru 1776, kwa hiyo wana miaka 240 ya kujitawala. Wao wako menopause, sisi tuko puberty. Usijali tutafika tu.
Umenena kweli mkuu ila tujiulize swali moja, India ,China ,Malaysia na wao wana miaka 240 ya uhuru?
hawajaifikia USA ila wameweza Sana kujikwamua wakati juzi tu 1960 walikuwa maskini Kama sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…