Ni lini tutafika hapa?

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
1,583
Reaction score
2,702
miaka 55 ya uhuru bado tunakula vumbi, je? miaka 55 mingine ijayo tutakuwa tumefikia hapa?

Attachments

  • edu_shuttle_launch_sts-117.jpg
    20.1 KB · Views: 123
  • CoQKxpyXEAAk2Y-.jpg
    22.8 KB · Views: 115
Mmh hapo hatutafika hata 500 ijayo
 
Bado sana kwa nchi hii ambayo.
Mwananchi wake akitengeneza masafa yake ya radio anawekwa ndani
Akitengeza hata kadrone ama chopper analetewa figisufigisu badala ya kumshika mkono ili aamke anakandamizwa chini apotelee kabisa
Walio somea sayansi nao wanawaza kuingia serikali ni wapige mzigo nao. Mhh bado sana
 
Subiri tukishafika Dodoma, ndio tutafikia hayo maendeleo
 
Kwa nini tunataka kufika huko?

Labda tuna njia zetu nyingine tofauti na huko

Sio lazima sisi kufanya kama wao

Tunaweza kufanya vyetu vya tofauti na vitakavyokua vyetu sio kufanya kama wao
 
Achana na sisi tuko mbali sana tunaongoza kwa unafiki duniani ujuaji ujanjaujanja kulalamika uvivu kukosoa kila kitu hata kama ni kweli sasa nani atatufikia kwa maendeleo kama hayo?
 
Hata wao wakati bado wana miaka 50 ya kujitawala hawakuwahi kuhisi kuwa watafika huko....

Unafananisha nchi iliyostaarabika miaka 700 huko nyuma na kanchi ambacho kamestaarabika miaka 50 hapo nyuma?...
 
Sikiliza wewe kiazi, hakuna maendeleo yanayokuja bila kupangwa na kutendewa kazi, ulivyo mburula eti unasema hata wao hawakujua Kama watafika hapo, Kwa hiyo waliamka asubuhi tu na kukuta kuna Apollo imepaki uani na kisha wakaiendesha hadi mwezini?
you're very stupid and you must be a ccm member
 
Sikiliza wewe mhogo, matusi yako hayatafanya hoja yako iwe na mashiko.....Apollo ya kwanza imerushwa mwaka gani? Na hao watu walianza kustaarabika lini?

Kila kitu ni hatua,na si kila jambo lifanywe kipindi hichi we mburula upo hapa kutukana matusi.....hata hao waliorusha Apollo leo walikuwa na watu wa aina yako ambao walikuwa hawaamini kama watafika hapo na waliishia kubeza na kutoa kashfa na kuishia kubaguana kwa vyama....

Alafu kuna nchi kibao zimeendelea na hazijawahi kurusha hizo rockets so hazina ulazima sana sio kila nchi itataka ku-explore space sasa si watakuwa wanagongana huko juu?
 
Kwa nini tunataka kufika huko?

Labda tuna njia zetu nyingine tofauti na huko

Sio lazima sisi kufanya kama wao

Tunaweza kufanya vyetu vya tofauti na vitakavyokua vyetu sio kufanya kama wao
kwanza vitu vyenyewe havina faida katika ukuaji wa uchumi na maendeleo vijijini hatuna haja navyo!
 
Why tufike Huko.. Je Kuna Sababu ya Sisi Kuiga Kila Jambo La Ulaya na Amerika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…