Princessone
Member
- May 8, 2013
- 99
- 87
Nimezoea kuangalia simu gsmarena kabla sijanunua ila leo nimeshangaa kukutana na TECNO na INFINIX,ni lini zimeingia huko?
Nimezoea kuangalia simu gsmarena kabla sijanunua ila leo nimeshangaa kukutana na TECNO na INFINIX,ni lini zimeingia huko?

Hata mimi nilianzia huko nikaja kuhama wala sitamani kurudi huko kwa kweli .. tecno ilinitesa sana .Asilimia kubwa ya wanao ipinga tecno Ndio watumiaji wakuu wa iyo CM
Sent using Jamii Forums mobile app
Itogwanshindo maana yake niniMsaada jamani wengine tuko huku kijijini ITOGWANSHINDO huko GSMARENA ndo wapi wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watumia tecno mnajifariji sana, so ikiingia huko inakusaidia nini wew, tecno ni simu ya wasiojitambua over !!
Najua ntawakera lakini ndiyo ukweli huo
Sent from my iPhone using JamiiForums
PUMBAWatumia tecno mnajifariji sana, so ikiingia huko inakusaidia nini wew, tecno ni simu ya wasiojitambua over !!
Najua ntawakera lakini ndiyo ukweli huo
Sent from my iPhone using JamiiForums
umeongea kauli ya ki limbukeni sana...
we ndo mfano wa wale jamaa hata baiskeli hana ila anajifanya anaongelea magari ya ki german tu mara AUDI mara WRANGLER mara MUSSO mara TUAREG
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiji kipya jirani na IkungulyabhashashiMsaada jamani wengine tuko huku kijijini ITOGWANSHINDO huko GSMARENA ndo wapi wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezoea kuangalia simu gsmarena kabla sijanunua ila leo nimeshangaa kukutana na TECNO na INFINIX,ni lini zimeingia huko?