Ni lini Rais anatakiwa atoke Ikulu?

Ni lini Rais anatakiwa atoke Ikulu?

Nchi hii itageuka Libya kama CCM wataamua kubaka democrasia ... Police wataua raia, lakini maharamia wa CCM popote walipo watajuta kuzaliwa ... hatuwezi kuendelea kuona Tembo wanauawa, dhahabu zinawanufaisha wachache, Almasi inajenga ulaya, Gas inasafirishwa, nchi inauzwa ...wananchi wanataka uchaguzi huru na wahaki, wanataka kuona vituo vyote vinahesabiwa kura na kubandikwa hadharani .... vyombo vya habari vitumike kutangaza matokeo ya awali kwa uwazi ... otherwise MAKUWADI wa rasilimali zetu wajiandae kuhama nchi ...
punguza jazba
 
JK anaweza kuondoka ikulu hata kabla ya Rais mpya kuapishwa..

Yule jamaa kashachoka balaaaa

Ataondoka wiki moja kabla ya kutangazwa Magufuri maana mikoba yote kaisha mkabidhi ndio maana kaenda Marekani kupumzika Magufuri anakaimu sasa !
 
andiyo maana wanasema mtaisoma namba wao ni mbele kwa mbele !

Hamkupaswa kutamba kumbe ushindi wenu ni wa hila. Mmeshindwa kuwashawishi wananchi waone ufahari maendeleo mnayodai mnaleta. Shame on yuo GAMBA
 
Hamkupaswa kutamba kumbe ushindi wenu ni wa hila. Mmeshindwa kuwashawishi wananchi waone ufahari maendeleo mnayodai mnaleta. Shame on yuo GAMBA
Yanayoendaga mbele kwa mbele bila kuangalia wapi yanakwenda na yametoka huwa ni mazombie. Ccm na wazombie Ukawa na wanamabadiliko.
 
Soma vizuri Katiba ya yetu, inasema hivi ,,Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale raisi mwingine anapoapishwa" hivyo kwa kifupi ni kwamba Raisi aliyepo atabakia kuwa raisi wa JMTZ na madaraka yake yote mpaka pale atakavyoamua kumkabidhi madaraka Raisi ajaye baada ya kuapishwa, hivyo baada ya tu ya Dr.Pombe Magufuli kuapishwa basi yeye ni raisi wa Tano wa JMTZ na swala la kuondoka Ikulu kwa raisi aliyemaliza muda wake ni swala la mpangilio tu!

Sasa kama unafikiri Raisi wa Chama Dola CCM atamkabidhi madaraka fisadi Lowasa na Genge lake, basi endelea kuota!

We ndio unaota.
 
Ok, ...rweyemam asante kwa taarifa .......,!,,,,
 
Ataondoka wiki moja kabla ya kutangazwa Magufuri maana mikoba yote kaisha mkabidhi ndio maana kaenda Marekani kupumzika Magufuri anakaimu sasa !

Linch i la hovyo kabisa hili yaani kumbe meshamaliza uchaguzi wenu mavi nyie matajuta. .....idiot
 
Kwa taratibu za nchi yetu(Tanzania) ni lini Rais anayetoka madarakani anatakiwa aanze kuhama Ikulu?
Yaani siku ngapi kabla ya uchaguzi?
Maana yake tarehe 25 saa 6 usiku nchi inakuwa haina rais.
Sasa wale washkaji wengine wa pale ikulu nao inakuaje?
Katika kubadilisha mfumo, wao(wafanyakazi wa ikulu) wanastahili kumpokea Rais mpya?

Itategemea Magufuli atahamia lini Ikulu.
 
Yanayoendaga mbele kwa mbele bila kuangalia wapi yanakwenda na yametoka huwa ni mazombie. Ccm na wazombie Ukawa na wanamabadiliko.
Huna habari,UKAWA wameshabadilika.kazi ya Ukusafishana imeota mbawa na wameamua kuwa wakweli rais wetu wote ni Mwalimu Dr Magufuli
 
Lowassa Ikulu...yaani magufuli ameoteshwa ndoto tu wananchi ndo tunamweka..magufuri rudi shule walimu hawatoshi.!!!!
 
Akimaliza kuapishwa Lowassa na sisi ukawa tukiserebuka taratibu na nyimbo ya msaga sumu.
 
Back
Top Bottom