Ni lini Rais anatakiwa atoke Ikulu?

Ni lini Rais anatakiwa atoke Ikulu?

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,048
Reaction score
15,046
Kwa taratibu za nchi yetu(Tanzania) ni lini Rais anayetoka madarakani anatakiwa aanze kuhama Ikulu?
Yaani siku ngapi kabla ya uchaguzi?
Maana yake tarehe 25 saa 6 usiku nchi inakuwa haina rais.
Sasa wale washkaji wengine wa pale ikulu nao inakuaje?
Katika kubadilisha mfumo, wao(wafanyakazi wa ikulu) wanastahili kumpokea Rais mpya?
 
Soma vizuri Katiba ya yetu, inasema hivi ,,Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale raisi mwingine anapoapishwa" hivyo kwa kifupi ni kwamba Raisi aliyepo atabakia kuwa raisi wa JMTZ na madaraka yake yote mpaka pale atakavyoamua kumkabidhi madaraka Raisi ajaye baada ya kuapishwa, hivyo baada ya tu ya Dr.Pombe Magufuli kuapishwa basi yeye ni raisi wa Tano wa JMTZ na swala la kuondoka Ikulu kwa raisi aliyemaliza muda wake ni swala la mpangilio tu!

Sasa kama unafikiri Raisi wa Chama Dola CCM atamkabidhi madaraka fisadi Lowasa na Genge lake, basi endelea kuota!
 
Kumbe ni kweli mirembe mmeunganishwa na mkongo wa taifa?!
 
soma vizuri katiba ya yetu, inasema hivi ,,raisi wa jmtz ni raisi mpaka pale raisi mwingine anapoapishwa" hivyo kwa kifupi ni kwamba raisi aliyepo atabakia kuwa raisi wa jmtz na madaraka yake yote mpaka pale atakavyoamua kumkabidhi madaraka raisi ajaye baada ya kuapishwa, hivyo baada ya tu ya dr.pombe magufuli kuapishwa basi yeye ni raisi wa tano wa jmtz na swala la kuondoka ikulu kwa raisi aliyemaliza muda wake ni swala la mpangilio tu!

Sasa kama unafikiri raisi wa chama dola ccm atamkabidhi madaraka fisadi lowasa na genge lake, basi endelea kuota!

ataamua tarehe ngapi?
 
Soma vizuri Katiba ya yetu, inasema hivi ,,Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale raisi mwingine anapoapishwa" hivyo kwa kifupi ni kwamba Raisi aliyepo atabakia kuwa raisi wa JMTZ na madaraka yake yote mpaka pale atakavyoamua kumkabidhi madaraka Raisi ajaye baada ya kuapishwa, hivyo baada ya tu ya Dr.Pombe Magufuli kuapishwa basi yeye ni raisi wa Tano wa JMTZ na swala la kuondoka Ikulu kwa raisi aliyemaliza muda wake ni swala la mpangilio tu!

Sasa kama unafikiri Raisi wa Chama Dola CCM atamkabidhi madaraka fisadi Lowasa na Genge lake, basi endelea kuota!

Sasa uchaguzi wa nini?!. Kama lazima amkabidhi Magufuli !?
 
Soma vizuri Katiba ya yetu, inasema hivi ,,Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale raisi mwingine anapoapishwa" hivyo kwa kifupi ni kwamba Raisi aliyepo atabakia kuwa raisi wa JMTZ na madaraka yake yote mpaka pale atakavyoamua kumkabidhi madaraka Raisi ajaye baada ya kuapishwa, hivyo baada ya tu ya Dr.Pombe Magufuli kuapishwa basi yeye ni raisi wa Tano wa JMTZ na swala la kuondoka Ikulu kwa raisi aliyemaliza muda wake ni swala la mpangilio tu!

Sasa kama unafikiri Raisi wa Chama Dola CCM atamkabidhi madaraka fisadi Lowasa na Genge lake, basi endelea kuota!

Swali lilikuwa moja lakini umeleta majibu matano tofauti,nani kakuambia kuwa lazima magufuli awe rais? Halafu unamwambia anaota eti Lowassa hawezi kuwa rais umeshajua mtoa mada yupo ktk chama kipi? Wewe Barbarosa nina wasiwasi na akili yako kama ni nzima kweli,I think you're completely mad,kama unajua magufuli ndo rais basi usipige kura oct,akili yako si nzuri hizo buku 7 za lumumba zitakuua.
 
Wenzetu nchi za dunia ya kwanza hukiri mbele ya mshindi wa urais kuwa nimeshindwa na huyu kashinda.lakin sisi tunasema "LAZIMA" inakuwa kama formula ya kutafuta pai AU DUARA!!!!?TUBADILIKE JAMANI
 
Kuna protocal huwa zinafuatwa,lakini kwa jinsi jk alivyochoka,nadhani masaa 6 baada ya magufuli kuapishwa ataondoka ikulu kurudi kwao bagamoyo.
 
ndio kwanza raisi wenu kaenda kuaga Marekani atakua huko akitumbua kodi za Malofa kwa wiki moja.
safari ya 410 . poor tz.
 
Baada ya kutangazwa winner ndio huanza hizo process mkuu, ila mimi nakushauri usiwe shambega kiasi hiki coz not gud for your heath.
 
Wenzetu nchi za dunia ya kwanza hukiri mbele ya mshindi wa urais kuwa nimeshindwa na huyu kashinda.lakin sisi tunasema "LAZIMA" inakuwa kama formula ya kutafuta pai AU DUARA!!!!?TUBADILIKE JAMANI

Hahahaa mkuu umenikumbusha mbali....mambo ya 22/7 au 3.14 sijui!
Daah,nilikua sipendi kinoma!
 
Nchi hii itageuka Libya kama CCM wataamua kubaka democrasia ... Police wataua raia, lakini maharamia wa CCM popote walipo watajuta kuzaliwa ... hatuwezi kuendelea kuona Tembo wanauawa, dhahabu zinawanufaisha wachache, Almasi inajenga ulaya, Gas inasafirishwa, nchi inauzwa ...wananchi wanataka uchaguzi huru na wahaki, wanataka kuona vituo vyote vinahesabiwa kura na kubandikwa hadharani .... vyombo vya habari vitumike kutangaza matokeo ya awali kwa uwazi ... otherwise MAKUWADI wa rasilimali zetu wajiandae kuhama nchi ...
 
JK anaweza kuondoka ikulu hata kabla ya Rais mpya kuapishwa..

Yule jamaa kashachoka balaaaa
 
Back
Top Bottom