Vicin
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 676
- 295
Habarini za saizi? Naombeni mnijuze Wadau, katika application ya chuo kikuu pale kwenye priority ni lazima ujaze zote? Na inakuwaje kama hakuna course nyingine inayoendana na sifa ulizo nazo? Kwa mfano. Mimi nina diploma ya sheria. Nitaweka priority moja tuu ama vipi? Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app