Ni kweli yametokea

Ni kweli yametokea

hiyo ni bahati mbaya kama sio ajali kazini, ajaribu tena siku nyingine
 
Huyo mke aliamua kumkomesha huyo mumewe kwa kumkosea heshima akaona bora auze mechi

Na itakua sasa hivi wanakuluna bila noma maana kaona mume hamthamini
 
Hapo mke hana hatia ujinga wa mwanaume umemponza mke kaliwa kilaini
 
Mwanamke aliyefundwa vizuri na mwanye akili timamu hawezi kumwambia mumewe idadi ya wanaume wanaomtongoza zaidi ya kujilinda mwenyewe, kwani mwanamke kutongozwa haikwepeki hata awe mke wa raisi, sasa unapomwambia mumeo kuwa umetongozwa na fulani unatakata mumeo atoe ushauri gani
 
Shigongo @ work

Mkuu sikushangai sana kwani mi mwenyewe nakosa namna ya kukufanya uamini lakini nina mambo mengi ya kufanya kichwani nina mipango mingi inayo ningoja na ninayo kimbizana nayo sasa huo muda wa kuchezea kufikiria vitu vya uongo nautoa wapi na kwa faida gani? mkuu haya ni ya kweli na hakuna nililoongeza labda tu kupunguza.Mkuu niamini.
 
Back
Top Bottom