Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Tamaa mbaya, siku nyingine bidada anaenda bila shida maana kibali kimetolewa. na hv ana njaa na hela ndio basi tena
wanasema ukitaka kufumania uwe na kifua na usipige kelele kama unampenda umfumaniae sasa imagine wamepanga fumanizi mume na mke akili zao fyatu pili wamefika mambo yashaisha aibuuu sipati picha huko ndani ya nyumba wanaishije na wanaangaliana vip ndoa bana watu siku hizi wanachukulila fasheni sana kwanza ningekua mimi ndo huyo dada sikubali kuvu nguo zangu japo najua mume yu njian aja halaf kitendo cha mume wangu kunikubalia na kuniambia nimkubali huyo baba tukapange fumanizi kingenipa mashaka kabisa.......................rizik hupana mungu tuna haraka tu na tama.
si wanasemaga mke anauma sasa huyu jamaa sijui imekuwaje........
Mwenyemke alienda kumpitia rafiki yake baada ya hapo akaenda kumpitia na balozi.naona ndipo alipochelewa halafu huwa tunamjadili sana mwanamke kwamba aliamua kumfanyizia mmewe kwamba alishindwa kumlaghai laghai jamaa ili mmewe awakute
Mmmmmmh asee hii kali
ahahahahahahahahha najaribu kuwaza humo ndani ya chumba walianzaje had wakamilza within dakika moja aseee
Kama ilivyo hii:
if your legs open up faster than Google's homepage...................... ......... you are not girlfriend material...................... :behindsofa:
huyo mke nae alitaka tu... alishindwa nini kujichelewesha mpaka wakutwe!!! mi ata nsingemuelewa, eti amekula mzigo tiari..... pangechimbika
haaa!! hii kali ya mwaka mume kachelewa kufanya fumanizi kakuta watu washamaliza asee kaaazi kweli kweli
Najiuliza: huyu mke pale kitandani aliwajibika ama alizuga? Eti
Ahhha hii ni picha asee itakua aliwajibika tu
Sidhani!
Yaani akili inawaza kufumaniwa na huku anawajibika!
Si aliona mme anachelewa kuja ahahhha yaani sjui kama ningekua ndo huyo mume sjui ningejichimbia wapi kuepuka aibu hii mbele ya balozi
inaonekana jamaa haiwezi kazi nitamwambia mke wangu awe anamchuna tu kama mambo yangu yapo hovyo
Je wewe ndio ungekuwa huyo mke? Lkn hii show mke si kalipwa chake ama?