Ni kweli watu wanaweza kuloga mvua isinyeshe?

Stupidity at its best.

Kiimani, mvua inatoka kwa Mungu. Ili isinyeshe basi mhusika amloge Mungu. Na kama yupo basi ni Mungu mwenyewe huyo.

Kisayansi ni dhania nyingine. Ambapo sidhani kama kuna sayansi ya kiuchawi inayoweza kwenda kutenganisha mawingu yaliyojikusanya kwa ajili ya kunyesha.
Usilolijua ni usiku wa giza kutoamini kwako imani za asili na nguvu zake hakufanyi ushirikina usimame.

Watu wanaroga na mvua haitokei ng'oo
Na pia watu kwa imani hizohizo za ovyo wanaloga na mvua inamwagika km bahari..
 
SUMBAWANGA alishakamatwa mtu na mvua inanyesha ndani ya mfuko wa rambo...masela wa kipindi kile waliipasua ile rambo na ikanyesha mvua hatari.
 
Kwaoi unataka kumaanisha kuwa kweli mvua inalogwa
 
SUMBAWANGA alishakamatwa mtu na mvua inanyesha ndani ya mfuko wa rambo...masela wa kipindi kile waliipasua ile rambo na ikanyesha mvua hatari.
Mh mbona haya maajabu sio story tu izo
 
Ww umejuaje?
Wafanyakazi wahuko hata wanayamwezi Tena ni balaa hukoo , .tu kaja kisalimiwa na bibi yake akaja Kwa mfumo wa nyoka tulitaka kumuua akadai huyo ni bibi yake tusimuue galfa akaitwa kwao na akaondoka hakurudigi Tena.

Tulilelewa na wafanyakazi wa makabila mbali mbali so walikuw wanatuhadithia kuwa mtu asipotaka upande mazao Yako aankuloga mvua haifiki kwako nijua Kali tu ndio lipo eneo lako ila Kwa wengine mvua inanyesha kama Kawa
 
Dah mbna kali ya mwkaa
 
Yani suala la kuzuia na kusababisha mvua inyeshe especially maeneo ya vijijini ni rahisi kama kumsukuma mlevi.

Kwa mfano maeneo ya kijijini kwetu nilipokulia kuna Wazee walikua wanasifika kwa kuleta pale mvua ilipokua inazingua kunyesha kipindi cha kilimo kikiwadia... walikua wanaenda mlimani wanaset mitambo mvua zinanyesha kwa kadri ya matakwa yao.

Issue ya kuzuia mvua isinyeshe sio big deal hata mimi binafsi ninaweza, hamna haja ya kuelezea..tatzo humu jf kila mtu ni wakishua kakulia town vitu kama ivo mnaona kama uchawi wakat ni sayansi ndogo tu.

Nimewah kuzuia mvua isinyeshe nyumban kwetu mara nyingi tu ila maeneo mengine around ikawa inanyesha kama kawaida tena bonge la mvua yenye radi na ngurumo na hata sasa ninaweza ni basi tu saiv nakaa mjini sina material zinazohitajika.

Hakuna uchawi
Nawasilisha.
 
Dah jweli
 
Back
Top Bottom