Ni kweli watoto wa Tanga?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli watoto wa Tanga??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Twande, Jan 28, 2010.

 1. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani hii habari kwamba mabinti wa Tanga ivi vile ni kweli?? Wadau walotest variety pliz tusaidieni tujue..je nanii zao ndo tamu au mautundu ndo wako juu but bucha ni zilezile?? I mean hata akiwa gogo kitandan but nanii zao ndo mwake??
  Mi binafsi naona hii issue ni mtu na mtu siafikiani kwamba tanga bomba chaga hola!! Lol..
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mabinti wa Kitanga .............eeeh

  Ni kweli mkuu; wanajituma kuna katika kumegwa; nilipitia wa2; kabla sijaamua kujiachia kwa semegi yenu
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  Nenda Tanga kataest ila kama tu hujaoa lakini.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Ikiwa tamu ndo inakuwaje?
  kuna amabazo sio tamu?
   
 5. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Duh! mi nadhani utamu unakuwa nao mwenyewe ile ni kikolezo tu!
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  hahahaaaaa!
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mi nafikiri Tanga ilikuwa zamani siku hizi kila mtu mjuzi wa mahaba ukimkuta ambaye siye basi ni uvivu wake tu wa kujituma.
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  I stand to be corrected; bado wanashika hatamu; hawa wengine wamechanganya mambo na uzungu mwingi; lakini wale wa Tanga wamebakisha ule uasilia; wacha kabisa ile kitu waweza uza mji!
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Tusaidie hapa
  -Inakuwa "tamu"? elezea utamu hapo unakuwaje na tofauti zake na ambazo "sio tamu"
  -Au wanajua/jitahidi kufanya zoezi hilo kuwa "enjoyable"
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nitatafuta nione kama kweli au sifa za bure kwani kuna wakimakonde hao ata uwe rijali vp utakimbia tu mwenyewe
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ok I cant say more as sio mwonjaji na wanadai raha ya ngoma uingie uicheze nami siwezienda test kwa kuwa si mkaka. Hivi ujuzi huu uko kwa wanawake wa Tanga tu au hata wanaume wao? Lol sijui nitapata jibu hapa?
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kwanza ni jinsi wanavyoenzi shughuli nzima ya kumegana; zoezi zima kuanzia usafi wa mwili mpka game lenyewe na unyenyekevu wa halli ya juu achilia mbali kauli ya kuomba kuongezewa dozi kimahaba we acha tu; kama ulikuwa unishia round ya 2 hapo utafika hata ya sita! Unaandaliwa mazingira ya kuakamuliwa asali kwa namna inayoleta msisismko hivyo unajikuta ukirudia na kurudia! mambo ya kuwekwa kwenye kisahani............

  Tofauti ya Tanga na umakondeni; ni staha na utulivu mabinti wa kitanga wanaokuwa nao; umakondeni wao watataka kukupepeta tu weee na mara nyingi hawakubali miondoko mingine zaidi ya kifo cha mende!
   
 13. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Tanga............... wee acha tu[​IMG]
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Naanza kuelewa kidogo.
  sasa mkuu, wanakuwa genuine au fake? i mean hayo yoote wanayafanya for the love of the game au for the love of mantaining the contract and/or taking the agreement into another level?
   
 15. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Eeeh kwa heri!
  Hii komenti itasababisha wa2 wahamie ktk kupiga PUCHU sasa. Mweee!
   
 16. handsomeboy

  handsomeboy Member

  #16
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mjomba inabidi huu sample kwa sana embu pitia Kondoa Irangi uone watoto wa kisandawe halafu rudi Tanga ndio utajua hizi ni hadithi.
   
 17. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hechiba; Kondoa Irangi hamna kitu;ufundi wao mkuu ni kukuendea kwa kalumanzila usahau ndoa yako! labda kama unababika na rangi; Na kama ni Rangi Tanga kuna Rangi adimu mkuu............!
   
 18. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  They love the game na sijui wengine nilokutana nao mimi hakukua na malalmiko baada ya mimi kuondoka; ni wakarimu na they have what we call value for your money:)
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Haahahaaa!
  Nimekusoma!
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Usiombe uende Moshi mkuu wangu; kama uanaenda March anza kumwandaa demu mwezi huu; kuwa utaenda unless unataka ukabebe dada poa!

  Nishatia timu Moshi kama mara 4 hivi zote niliambualia kapa!
   
Loading...