Ni kweli wapo lakini tutaenda nao mdogo mdogo tu; na watatuelewa!

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,326
1,314
Ni kweli wapo hawa, huwezi kuwakosa wapo kabisaaa na wataendelea kuwepo. Ana umri kati ya 18 na 40 anapiga kura kwa zimwi; daaaa inachosha sana lakini tutaenda nao mdogo mdogo wataelewa. Ukimuuliza kwanini anasema amelelewa na zimwi na zimwi ndo bado linashikilia amani ya nchi hii!

Inasikitisha lakini wapo, lakini walau wanaanza kuelewa taratibu! Na wataelewa tu!
 
Back
Top Bottom