Ni kweli wanawake kondom zinawawasha ?

Ni kweli wanawake kondom zinawawasha ?

Kujipunguzia starehe tu.
Kwanza mtu akianza kuomba ujue hakuamini au wewe sie
Hahahahaha aisee!
Ila wanasema eti with right foreplay mkaepuka michubuko hakunaga ngoma...sijui bana.
Ila hii dhambi ngumu kukwepa jamani..kha!!
 
Back
Top Bottom