Ni kweli wanawake kondom zinawawasha ?

Ni kweli wanawake kondom zinawawasha ?

Yaani wanaume bwana! Eti wanawake wakiwaambia mvae condom mnalalamika kuwa siyo vizuri 'kula pipi na ganda lake' na mnasema kuwa hamzipendi

Haya sasa baadhi yao wamewarahisishia mambo kwa kusema kuwa condom zinawawasha kwahiyo msizitumie napo bado mnalalamika kuwa eti hawataki tu kutumia kinga wanataka kuwaambukiza magonjwa

Kwahiyo ninyi mkikataa kuzitumia hamna lengo baya kwao ila wao wakikataa kuzitumia ndiyo wana lengo baya kwenu?

Tuna wanaume wa ajabu haijawahi tokea (in Tundus Lissu's voice)
 
Sijui nirudie mara ngapi kusema jamani wanawake wanachukia kondom kuliko kitu chochote hapa duniani..! Wenyewe wanakiri kabisa kwamba mapenzi na kondom hayana ladha na ukiona mwanamke anakuambia uvar kondom ujue kabisa anafanya na wewe mapenzi kupoteza muda tuu hana hisia zozote.
 
Wewe ni Mwanamke??

mimi nikiwa na mechi kondom nakuwa nazo lakini nazivaa tu mwanamke akilazimisha.

nampelekea mote ndani ya daki 2 tu inapasuka na kuanza kupiga nyamanyama.

huwa nashangaa... wakati unamkuna kwa ndom speed yake huwa 40/saa. lakini nikiipasua tu faster anafika 80/saa.

uzuri nina kibania hvo ngoma hainihusu
 
Back
Top Bottom