jini makata
Member
- Jun 7, 2017
- 66
- 35
Jamani nimesikia habari kwa baadhi ya walimu wa Lushoto mara hii mkurugenzi wa wilaya hiyo amezuia likizo na walimu wanaendelea kufundisha kama kawaida mpaka Tar 23/6/2017 ndio wafunge na watafungua kama tar 3/7/2017 kama mashule na ratiba ya taifa inavyosema.