Mwinjiristi
Member
- Aug 4, 2025
- 5
- 8
Hivi ni kweli vijana wanaogopa kujiunga na jumuiya ndogo ndogo kisa michango?
The second one..Hivi ni mwinjiristi au ni mwinjilisti?
Anaona kwa kufumbua macho na kuyaelekeza kwenye sehem au kitu anachotaka kuionaWe unaonaje?
Ni kama TRA imeingia ubia na nyumba za ibada kukusanya mapatoHivi ni kweli vijana wanaogopa kujiunga na jumuiya ndogo ndogo kisa michango?
Ni kuogopa majukumu na kukwepa kujifunza maadili mwema.Hivi ni kweli vijana wanaogopa kujiunga na jumuiya ndogo ndogo kisa michango?
Haswaa.Ni kama TRA imeingia ubia na nyumba za ibada kukusanya mapato
Kaone "Hashwaa" utadhani hata kanisani kanaendaga vile.Haswaa.
Ishu ni michango mingi,hata watu wazima wasio kuwa na kipato cha uhakika wanakwepa kuhudhuria jumuiya/kanisaniKwa ninachokiona sasa shida ipo kwenye kuwaandaa vijana na mabinti kutoka kuwa wavulana na wasichana,kupitia kuwa vijana na mabinti na kuwabadili kuwa wanaume na wanawake.
VIjana naabinti wanaogopa mambo mengi tu sio jumuiya pekee yake. Wanaogopa kusali, wanaogopa kuwekeza pamoja, wanaogopa kujielimisha, wanaogopa ndoa, wanauogopa mambo mengi ambayo ni ya kawaida katika maisha.
Sasa ukitazama maswala ya jumuiya ni kwamba vijana wanaogopa kwasababu ya hofu ya jumuiya ina washirikisha na kuwakumbusha mambo ya msingi katika maisha yao kama kusali, kutembeleana, kutembelea wagonjwa na watoto yatima pamoja na wazee. Kuwa na mahusiano ya kumpendeza MUNGU na sio kuishi kisela, kufunga ndoa na kupata watoto ndani ya ndoa, kujenga familia bora zenye kumpendeza MUNGU etc.
Kwa kifupi, wanakwepa kuingia utu uzima kwasababu hakuna sehemu ya jamii inayowashepu kuingia katika hatua hiyo ya utu uzima.
Kama jamii ni muda muafaka sasa kuja na program maalumu kwaajiri ya vijana na mabinti zetu ili waweze kuyaelewa na kuyafanya maisha bila hofu.
Z, naomba nikuambie kitu, mie nimekulia kwenye malezi ya dini toka niko mdogo,Kaone "Hashwaa" utadhani hata kanisani kanaendaga vile.